NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

kwa vile professor Mgaya ni wa Usangi hii dawa najua ni mzimu wa kipareee ummemuotesha
 
Pole ya nini wakati mumeitafuna Nchi mpaka wananchi wamekata tamaa
Hakuna mwanainchi alie kata tamaa huo ni upotoshaji labda kwenu huko mtaa wa ufipa ndio mliokata tamaa
 
Hakuna mwanainchi alie kata tamaa huo ni upotoshaji labda kwenu huko mtaa wa ufipa ndio mliokata tamaa
Mud-Home.jpg

Haya ni maisha 2020?
 
Naweza kuamini labda mbwa ni Bora kuliko wewe! Kwanini nasema hivyo kwa kukubali kwako tu kuwa ni Bora ungezaliwa mbwa ulaya kuliko ulivyozaliwa binadamu Tanzania siwezi kukupinga Wala sitakuita mbwa kwakuwa tu unatamani uwe mbwa
Umekazania tusi hilo. Nawe basi umezaliwa na mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom