NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

Mzungu ameshindwa ngozi nyeusi ndio ataweza?

Acha Ushamba dogo.. Kwani we na mzungu mnatofauti Gani? Kuna wazazi Wana hasara kwelikweli.

We shuleni ulienda kujaza Madawati tu, Saizi umri huo hata kuelimika bado! Kazi ipo
 
Natumia sana remedies ila kwa professor ilikuwa waifanye katika vipimo vidogo kwa taaluma yao na hii ya kipimo cha chupa za uhai angewaachia wauzaji wa miti shamba
Tuna tatizo sehemu
Huu mchanganyiko haujavumbuliwa bali upo miaka yote na tunatumia
Ila dozi ya nusu lita au kujikadiria tu hii ndio waje na akili ya ziada bila hayo wamuachie mmasai auze


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hongereni sana kwa kudiriki kutafuta tiba. Ni hatua nzuri hata kama haitibu. Ila mmeniangusha hapo mlipokiuka kanuni za ugunduzi.

Mmetaja mchanganyiko wa Tangawizi, limau, kitunguu maji, kitunguu saumu na pilipili. Huwa fomulae haitajwi hasa ugunduzi unapokuwa bado haujawa rasmi. Hapo mmetoa Code mapema sana.
 
Ujinga mtakufa

Mtaisha mana hamuambiwi mkasikia. Tangu lini upuuzi huo ukaua Viruses? Viruses are very stubborn! Vaccine and any viral medications are difficult to achieve especially these rapidly mutating viruses
Ila wewe ni mbuzi, hivi unaona hapo inaua viruses? Jaribu kusoma kwa kushirikisha ubongo wako kabla ya kukimbilia kujibu. Mbuzi akose utashi, na binadamu pia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kuna aliyewahi kuleta hiyo formular ya kutumia pilipili kule Songea na wakamdaka?
 
Inabidi Mh Rais wetu apige saini ndio tuanze kutumia maana hatuwaamini sasa isije ikatokea yale ya kile kipimo kilichopima mapapai, oil, mbuzi nk..tunamuamini mtetezi namba moja wa wanyonge Rais wetu jembe JPM... Akipiga yeye saini tu tutaanza kutumia..
 
Chini ya barcode inatakiwa iandikwe PROUDLY TANZANIA.
 
Mhh, Kwanza kunyweni. Mimi na familia yangu tutakunywa baadaye. Hawakawii kusema"tulikosea formula" au "hiyo dawa si ya kwetu, mabeberu wametumia chupa zetu" . Hapo watu kibao washakufa kwa hii chachandu!
 
Mzungu ameshindwa ngozi nyeusi ndio ataweza?

Mkuu. Mzungu unayemsema kama Mfano unaumwa ugonjwa haujui utakufa anakuangalia. Usiwe mtumwa sana. Waafrika wengi Ni magenius Shida kubwa hela tu za Research. Huku ulaya ukipima na hujazidiwa unabaki Ndani na utajijua mana Hakuna dawa.

So shukuru Tz mnapelekwa mahali. Nyumba za kupanga familia 10 choo kimoia. Ingekuwa jangaaa. Shukuruni sana Serikali za Afrika pamoja na umaskini mnawekewa mazingira Special.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzungu ameshindwa ngozi nyeusi ndio ataweza?
Hizi fikra siyo sawa waafrika tunapaswa kutumia akili zetu.Kama Mpesa ilianza Africa na ulimwengu mzima sasa umeiga hatuwezi shindwa.

Tuna mimea mingi sana ya dawa wakemia,botanists,na wataalamu wote hawachangamki.Tukiamua hata HIV inaweza pata Africa lakini kwa kua tumewaachia wazungu wafikirie kwa niaba yetu wacha tuendelee kufikiri kimgando.

NIMR watafute dawa hicho walichotengeneza hata majumbani inawezekana watafate njia bora zaidi ya hiyo.
 
Back
Top Bottom