NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

NIMR watafute dawa hicho walichotengeneza hata majumbani inawezekana watafate njia bora zaidi ya hiyo.
Unajua training ya NIMR scientists? Do they have the knowledge/ expertise to do necessary basic science related to this field of discovery??
 
Haya.
Polisi wamfungulie yule dogo aliyeshauri watu wale pilipili
 
Yaan upige picha ya dawa kitandani kwako afu uwataje NIMR? Na bado huu uzi upo?

Haya ukipata mapato lete jukwaani kwa moderators wajipongeze.

Sent using iphone pro max
 
Safi Sana, at least we are not sitting ducks.
Tunafanya kitu. Hongereni NIMRI.
Hata Kama sio tiba.
 
Taasisi ya Utafiti NIMR imefanikiwa kutengeneza dawa lishe itakayowasaidia wenye maambukizi ya Corona kukabiliana na virusi hivyo.

Mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema dawa hiyo inasaidia kufungua kifua kwa wale wanaobanwa pumzi na kuwapa wepesi wa kupumua.

Prof Mgaya amesema dawa hiyo ina mchanganyiko wa Tangawizi, kitunguu maji, kitunguu swaumu, limao na Pilipili kichaa.

View attachment 1442912

Source: Channel ten habari!
It sounda like kiungo cha mboga tuu kama ilivyo tomato paste
 
Mbona inawahi kuharibika hivyo?

Inatia wasiwasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mie huwa natengeneza pilipili ya kusaga na mix na tangawizi ,vitunguu saumu naichemsha halafu naiweka kwenye friji naitumia kwa mda hata wiki mbili bila kuharibika mpaka inakwisha ila ya NIMR ni funga kazi ina expire FASTA.
 
Taasisi ya Utafiti NIMR imefanikiwa kutengeneza dawa lishe itakayowasaidia wenye maambukizi ya Corona kukabiliana na virusi hivyo.

Mkuu wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema dawa hiyo inasaidia kufungua kifua kwa wale wanaobanwa pumzi na kuwapa wepesi wa kupumua.

Prof Mgaya amesema dawa hiyo ina mchanganyiko wa Tangawizi, kitunguu maji, kitunguu swaumu, limao na Pilipili kichaa.

View attachment 1442912

Source: Channel ten habari!
Habari njema sana.Lakini huyu prof Mgaya ni mtoto wa Mzee Mgaya?
 
Back
Top Bottom