MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Una maanisha wazungu tuu ndio wanaweza au nimekuelewa vibaya?Mzungu ameshindwa ngozi nyeusi ndio ataweza?
Daily shemeji yenu ananipiga dozi hio kama juiceWametengeneza baada ya na wao kusikia kuwa zinasaidia sasa wamechukua nafasi kupiga biashara kiuraini... watanzania wengi wamepona kwa kutumia malimau na tangawizi pia kwa radha ya asali
Halafu unaambiwa ni dawa! Unaweza kuisafirisha Dar hadi Kigoma huko Buhigwe then ikamsubiri Mteja? Tutakuja kuuanaMbona ina expire haraka sana? yaani tarehe 8 ina expire.
Hujui unchoongea WeweMzungu ameshindwa ngozi nyeusi ndio ataweza?
Umenena vema mkuu!Hili jambo la kupongezwa na kuungwa mkono na Watanzania wote. Tuwatie moyo na kuwathamini wataalamu wa ndani. Serikali iwape ruzuku ili dawa hiyo ipatikane kila kona ya nchi yetu na kwa bei nafuu, ili iwafikie watu wengi na pia waweze kuinunua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itatengenezwa kwa "Daily basis" tena hata wale jamaa wa kununua korosho wanaweza kushirikishwa!!
Huyo ndio yule anae sema Bora angezaliwa mbwa ulayaDah!,kumbe kuna watu bado mnaishi ndani ya mioyo ya wazungu?
na sisi hatutengenezi kuponya wazungu,tunatengeneza kuponya watanzania
PERIOD.
Kwa hiyo haifai na inadumu kwa muda gani toka imetengenezwa kabla ya ku expire.Hahaha angalie best before!!! Tutalishana sumu!
Ndio nyie mnao sema Bora ungezaliwa mbwa ulayaMzungu ameshindwa ngozi nyeusi ndio ataweza?
Hizi dharau ndio uwa sizipendi, wew unafikiri mzungu wa maana sana eeh?Mzungu ameshindwa ngozi nyeusi ndio ataweza?
Akili kama za kwako ni afadhari kuondoka duniani,kupunguza uchafu. Mzungu ni nani mpaka umtukuze na kujidharau? Jinga kabisaMzungu ameshindwa ngozi nyeusi ndio ataweza?