Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Ni kweli kabisa Mkono hata kama ni Mwanasheria na anahaki ya kumtetea mtu yeyote katika hili alipaswa kufikiri kidogo kabla ya kukurupuka na kuropoka.
Kama mwanasiasa na aliyeingia Bungeni kwa ridhaa ya wananchi Masikini wa Musoma ambao wanapoteza maisha kila siku kutokana na kuibiwa rasilimali zao na haohao mafisadi,atakuwa hajawatendea haki wapiga kura wake na hataeleweka kabisa.
Hata hivyo hapa anatuonyesha jinsi gani alivyo na KIBURI mbele ya Watanzania wenzake waliojaa dhiki na shida.
Mkono anapenda pesa, kesha ona hapo kuna ulaji, wala usimshangae, yeye si katika wale wapenda pesa za umma? Au huijuwi system wewe?
 
Mkono is right,

Kazi ya Law Firm yoyote ni exactly hiyo... sio kazi ya Law firm kuangalia mtu atakuwa guilt or not.

so there is no wrong doing for him to help Balali tuache unazi!

wewe kweli KASHESHE!
Sasa huo unazi unatoka wapi tena wakati watu wanatoa mawazo yao?
Sual hapa sio right to legal representataion ya Balali wala right to work ya wakili Mkono; suala ninaliliona mimi ni hili
1. Mkono mwenyewe ni mtuhumiwa wa the same case..tangu lini mtuhumiwa mmoja akamtetea mwenzie kama wakili? labda tubadili kwanza sheria

2. Mkono ni mwanasiasa ndani ya chama tawala. Ikiwa raisi wa nchi amemuondoa kazini kiongozi wa ngazi za juu kwa tuhuma nzito za ufisadi; je, unafikiri ni sahahi kwa kiongozi mwingine wa serikali hiyohiyo kusimama mahakamani kumtetea? mimi nafikiri kufanya hivyo ni kuidhalilisha raisi ambaye yeye Mkono ameapa kumheshimu na kumtii yeye kama Mbunge.

3. Kaulizwa?
Kama yeye ni wakili, asijitangazie kuwa yuko tayari kumtetea mtuhumiwa; why, every other lawyer in the world is ready and willing if approached with a good case and fee; kwanini anajieleza; he may be jumping the gun here for good many reason

4. Kwanini Mkono ndiye awe mtetezi wa watuhumiwa ambao wananchi wote wa Tanzania wana interest na kuona wanatiwa hatiani..bado kumbukumbu zetu za kesi ya Ditto ziko fresh; WHY HIM? Is this a syndicate of some sort; where the big boy says ;let me do this to cool their steam off but i will find you a good lawyer friend of mine to get you out? What Is this game?

5. Mkono + the other guys implicated in this dirty scandal are moving freely simply because the powers that be decided to keep the dirty report to themselves; but worse still; they decided to limit the terms of reference of those who did the auditing. Hii amount inayopigiwa kelele hapa is but a peanut compared to what is actually taken; What is Mkono's share in that? nani hajui kuwa jambazi mwenye pesa ni vigumu kumfunga? tena kwenye hii nchi ambayo majaji wanapigiwa simu na kupigia wenzao wanaposoma hukumu? nani hajui role ya viongozi waliobaki na washirika wao amabao walitajwa kwenye ile mafioso tree iliyotolewa hapa JF na kufika bungeni; so, WHO IS PAYING WHO TO DEFEND WHO?

My conclusion: Mkono anawakilisha kile walichopanga hata kabla ripoti haijatolewa. Tena sitashangaa kama iko kamati inawasoma maoni yenu ili kupima joto kabla hawajaja na The Way Forward
Tena nawapongeza wale wananchi waliojichukulia sheria mkononi na kujigawia hayo mashamba; it goes to show that wananchi wameshoshwa na the whole legal process which is full of political pressure and is suffering from rushwaism

Mkono's statement, if we may call it that, is evidence of how stupid our leaders and their fisadi group think Tanzanians are.
They should tune their TV channels to Kenyan side to get a glimpse of a poor man's expression of hatred to the ruling powers
Wasicheze na akili za watu!
 
Kama Mkono ni Bingwa wa kutetea watu mbona hakuweza kuwatetea wananchi wa jimboni mwake pale Musoma Vijijini wakati wakiporwa rasimali zao na kampuni ya madini ya Meremeta Pale Buhemba.

Tena walibakisha mashimo matupu bila hata ya kuyafukia.Wakaua wananchi kwa risasi na yeye hali akiwepo kwa kuwadaa kuwa serikali inashughulikia matatizo yao. Hana lolote huku ni kutapatapa kwa mfa maji.

Nadhani ni wakati muafaka wa kutimua hawa mafisadi katika uongozi. kura yangu 2010 ndo sauti yangu. The time has come
 
Hii mupya,huyu ayejiita wakili maarufu, naye kutuhumiwa kuihujumu nchi kwa kujipatia fedha toka BOT.Sajizi anatunisha kifua chake,wasifikiri watanzania hatuoni,wasilete mchezo wa kuigiza. MKONO NAYE NI MWIZI TU ASITULETEE HABARI ZAKE,YEYE AKAE TUONE USASFI HUKO WAPI?
 
Unajua viongozi wetu wana akili fupi sana. Haiingii akilini huyu MP anaropoka mbele ya media matusi hayo mazito kwa watanzania.

Niwakumushe tu kidogo siku za nyuma ndiye alikua mtetezi mkubwa na Laghai aliyeungana na corrupt judiciary system kumtetea Murderer Dittopile Mzuzuri aliyeu Raia kwa risasi at tghe same time anasema ni mwakilishi na mtetezi wa Wanyonge simply kwa sababu anataka pesa.

Next time inabidi akisimama hadharani kuongelea maswala ya BOT scandal ahojiwe na yeye kwani kuna tetesi za yeye kujihusuisha na ubadhirifu.

Ajibu maswali ya wananchi kwanza kwani wana ya kujua
 
Ni kweli kabisa Mkono hata kama ni Mwanasheria na anahaki ya kumtetea mtu yeyote katika hili alipaswa kufikiri kidogo kabla ya kukurupuka na kuropoka.
Kama mwanasiasa na aliyeingia Bungeni kwa ridhaa ya wananchi Masikini wa Musoma ambao wanapoteza maisha kila siku kutokana na kuibiwa rasilimali zao na haohao mafisadi,atakuwa hajawatendea haki wapiga kura wake na hataeleweka kabisa.
Hata hivyo hapa anatuonyesha jinsi gani alivyo na KIBURI mbele ya Watanzania wenzake waliojaa dhiki na shida.

Tunatakiwa kujiuliza sisi na mwandishi wa habari!

1. Alihojiwa kwenye capacity ya nani? chairman wa Mkono Advocates .... au Kama Mbunge wa Musoma, au Kama Mkono?

2. Alikuwa wapi? Kwenye Jengo la mitaa ya Ohio/Garden au Viwanja vya Bunge Dodoma?

Ukipata majibu katika hayo then!!! kila kitu kitakuwa shwari... by the way Kama mbunge pia anatakiwa kuhakikisha Balali anatendewa haki!!!

Kumtetea mtu mahakamani ni process ni ya kuelekea kwenye kutenda haki... ukweli ukijulikana Jaji/Hakimu ndio watoa haki...

Period... tuache mambo kama haya ili nchi iendelee,,, ati ukiwafukuza wamachinga sehemu walivamia unatakiwa kutafuta sehemu nyingi, kuwaaomba mara sabini...

Sheria inakata sehemu zote kama Musumeno...
 
Nimesoma maelezo yote hapa mpaka nahisi kizunguzungu nashindwa niamini maneno ya nanai,"Balali please come out and say something"
 
Hii mupya,huyu ayejiita wakili maarufu, naye kutuhumiwa kuihujumu nchi kwa kujipatia fedha toka BOT. Sajizi anatunisha kifua chake,wasifikiri watanzania hatuoni,wasilete mchezo wa kuigiza. MKONO NAYE NI MWIZI TU ASITULETEE HABARI ZAKE,YEYE AKAE TUONE USASFI HUKO WAPI?

Ukweli ni kwamba MKONO Advocates wamefanya biashara na BOT, na kwenye soko huria maana yake BOT wamepata proposal/quotes from different law firms, baada ya kuangalia financial and technical bids, wakapenda MKONO... MKONO wakapiga mzigo... na kutoa invoice... Sasa tatizo wapi?

Haya haya yalitokea kwa akina Mh. Lowassa walivyowafukuza city water akina Dr. Slaa wakapiga kelele, lakini baada ya kesi DAWASA kushinda they never come back and say thanks Lowassa and Team... tuangalia pande zote...

namshangaa FD anasema ni mtazama pande zote za shillingi lakini kwenye hili hasemi...

Balali ana haki ya kutetewa mbele ya Sheria!!! full stop
 
Kila mtu ana haki ya kutetewa hilo halina ubishi,na kanuni za misngi ya haki(rules of natural justice) zinataka mtu apewe haki ya kusikilizwa.

Na haki hii si tu ni ya kikatiba bali pia ni natural and immutable inaaminika imetoka kwa mungu mwenyewe pale alipomsikiliza kwanza adam ndipo akamhukumu alimuuliza hivi...adam uko wapi? umefanya nini? hapo adam akapata haki ya kujitetea na ndipo mungu mwishowe akatoa adhabu akisema, wewe adam utakula kwa jasho nawe hawa/eva utazaa kwa uchungu, nyoka atakuponda kisigino nawe utamponda kichwa" Ni kutokana na kauli hii ndio maana haki ya kusikilizwa ikiwa ni pamoja na kujua unachotuhumiwa na kutetewa zimekuwa haki za msingi.

Kwa hiyo balali pia anatakiwa kupewa haki hii tumwambie mkuu, tunakutuhumu kwa ufisadi wa pesa zetu, naye atujibu kama ni kweli, na je alikuwa peke yake? inawezekana kuwa watu wengi wanajificha kwenye mwavuli wa balali.yeye ni kondoo wa sadaka tu.

Inawezekana katika kumuondoa balali tumetaka matawi tu, mizizi badoinachupua. Hivyo basi tumwache mkono amtetee wala tusibishane kuhusu hilo.

Iwapo haye mkono no mtuhumiwa basi naye tumtuhumu tuykishafanya hivyo, hatakuwa na haki ya kumtetea balali.
Kwa upande mwingine, Mkono naye ana kimbelembele na anakiuka kanuni za uwakili(yaani professional ethics).

Kanuni za uwakili zinataka mtu asijitangaze wala asijipigie debe ili kuvutia wateja,wateja wamfuate mwenyewe na ndio maana ofisi za mawakili zinaitwa chamber na hazina mambango makubwa wala hazitangazwi kwenye vyombo vya habari.

Mkono anaposema atamtetea balali huku ni kutangaza biashara, hii ina maana tayari anamshawishi balali kuja kwake na asiende kwa wanasheria wengine hii kisheria inaitwa "tauting" na ni kosa.

Kwa hiyo basi kwa tangazo lake mkono ana kimbelembele.
 
Hapa nadhani ndio tatizo moja tunaliliona kwenye sheria yetu, Mbunge (mtunga sheria) ambaye wakati bado mbunge anaendelea kufanya kazi za uwakili hakuna hatari yoyote ile?

Kwanini watumishi wengine wanaacha kazi zao wanapokuwa wabunge lakini mawakili hawaachi (kwa muda wote wa Ubunge wao)?
 
Ukweli ni kwamba MKONO Advocates wamefanya biasha na BOT, na kwenye soko huria maana yake BOT wamepata proposal/quotes from different law firms, baada ya kuangalia financial and technical bids, wakapenda MKONO... MKONO wakapiga mzigo... na kutoa invoice... Sasa tatizo wapi?

Haya haya yalitokea kwa akina Mh. Lowassa walivyowafukuza city water akina Dr. Slaa wakapiga kelele, lakini baada ya kesi DAWASA kushinda they never come back and say thanks Lowassa and Team... tuangalia pande zote...

namshangaa FD anasema ni mtazama pande zote za shillingi lakini kwenye hili hasemi...

Balali ana haki ya kutetewa mbele ya Sheria!!! full stop

Na wewe umeingia mtego huu wa propaganda! Mbona Kesi mama ya Bi-water dhidi ya serikali ya Tanzania katika suala hili la City Water bado inaendelea? Hebu fuatilia ujue alichoshinda Mkono ni nini halafu ndipo utapo JICHEKA.

Asha
 
Hapa nadhani ndio tatizo moja tunaliliona kwenye sheria yetu, Mbunge (mtunga sheria) ambaye wakati bado mbunge anaendelea kufanya kazi za uwakili hakuna hatari yoyote ile?

Kwanini watumishi wengine wanaacha kazi zao wanapokuwa wabunge lakini mawakili hawaachi (kwa muda wote wa Ubunge wao)?

Yaani hapa ndio hata mimi nachoka (ila silegei kama wengine..lol). Hata kama mtu ulikuwa huelewi nini maana ya mgongano wa kimaslahi basi huu mfano ni maridhawa kabisa. Only in Africa you find things like this.
 
1. Alihojiwa kwenye capacity ya nani? chairman wa Mkono Advocates .... au Kama Mbunge wa Musoma, au Kama Mkono?

Off course kama Mkono the Advocate? Kwani kila mtu anaweza kutetea watu mahakamani?

2. Alikuwa wapi? Kwenye Jengo la mitaa ya Ohio/Garden au Viwanja vya Bunge Dodoma?
Alikuwa wapi ni irrevant,yeye alizungumza kama attorney at law.Mbona hukuongeza mahakamani,kempinski,polisi,news room, twin towers etc.

Hakuna mtu anayejaribu kumkataza Mkono kumtetea fisadi mwenzake hapa. Ila tuna confirm tu mafisadi wanakula sahani moja na lao ni moja, na inatusaidia kuunga hizo dots.

Malegesi naye anaweza kujoin tu si advocate bwana.
 
1. Alihojiwa kwenye capacity ya nani? chairman wa Mkono Advocates .... au Kama Mbunge wa Musoma, au Kama Mkono?

Off course kama Mkono the Advocate? Kwani kila mtu anaweza kutetea watu mahakamani?

2. Alikuwa wapi? Kwenye Jengo la mitaa ya Ohio/Garden au Viwanja vya Bunge Dodoma?
Alikuwa wapi ni irrevant,yeye alizungumza kama attorney at law.Mbona hukuongeza mahakamani,kempinski,polisi,news room, twin towers etc.
Hakuna mtu anayejaribu kumkataza Mkono kumtetea fisadi mwenzake hapa. Ila tuna confirm tu mafisadi wanakula sahani moja na lao ni moja, na inatusaidia kuunga hizo dots.Malegesi naye anaweza kujoin tu si advocate bwana.

No no no! Mkono as a lawmaker (legislator) can not be a legal representative for anyone. The conflict of interest here is clear-cut.
 
Ukweli ni kwamba MKONO Advocates wamefanya biasha na BOT, na kwenye soko huria maana yake BOT wamepata proposal/quotes from different law firms, baada ya kuangalia financial and technical bids, wakapenda MKONO... MKONO wakapiga mzigo... na kutoa invoice... Sasa tatizo wapi?

Haya haya yalitokea kwa akina Mh. Lowassa walivyowafukuza city water akina Dr. Slaa wakapiga kelele, lakini baada ya kesi DAWASA kushinda they never come back and say thanks Lowassa and Team... tuangalia pande zote...

namshangaa FD anasema ni mtazama pande zote za shillingi lakini kwenye hili hasemi...

Balali ana haki ya kutetewa mbele ya Sheria!!! full stop

Mkuu,
Law is a professional kama udaktari, hautakiwi kwanza kutoa matangazo ya biashara na kusolisit kazi. BOT kama taasisi nyeti ya kifedha inachokifanya ni kuchagua baadhi ya makampuni ya kisheria kutoka sokoni na hawa wanakuwa kwenye panel of approved attorneys. Ikitokea kesi BOT wanaamua nani apewe hiyo kazi. Sasa kazi zote anapewa Mkono tu, sasa tumegundua kumbe ni Swahiba wa Balali( Former Chairman of the Board of BOT). Mi naomba unitajie ni kesi gani ya BOT wanayotetewa na law firm ingine?

Hakuna anayekataa kuwa Balali hastaili kutetewa, hiyo ni haki yake ya msingi. Hata mimi ningekuwa lawyer ningejaribu kumtetea si anazo bwana(Tzs.133Billion hata kama ana 20% si ni Tzs. 26 Billion). Mi ningefurahi sana kama naye atatoa the inside story(What Real happened?)
 
No no no! Mkono as a lawmaker (legislator) can not be a legal representative for anyone. The conflict of interest here is clear-cut.

Yes indeed, but so far we do not have any law barring lawmakers from being advocates. So the issue here is not really to blame Mkono; we need to lobby to our MPs to enact a law to this effect. One problem our country continues to suffer is to relie on our leaders' wisdom rather than legal and policy frameworks on making important decisions.

Unfortunately, too many people who have to make important decisions in our country are simply idiots and devoid of any sense of wisdom!
 
Guys,

With all the efforts we have done, there is no going to be a case and anyone going to jail! Sorry to be the firstone to accept the circumstances!
 
Hapa nadhani ndio tatizo moja tunaliliona kwenye sheria yetu, Mbunge (mtunga sheria) ambaye wakati bado mbunge anaendelea kufanya kazi za uwakili hakuna hatari yoyote ile?

Kwanini watumishi wengine wanaacha kazi zao wanapokuwa wabunge lakini mawakili hawaachi (kwa muda wote wa Ubunge wao)?

Mambo haya ya akina Mkono ni dalili mbaya kwa nchi yetu; tumo njiani kuelekea kwenye machafuko makubwa sana kama tutaendelea katika njia hii.

Mkjj na wengineo huko majuu, na hata hapa Bongo wenye kujua tunaomba mtutolee mifano kadhaa mliyowahi kuiona huko ya wanasiasa kuwa wafanya biashara wakati huo huo wakiwa katika shughuli za siasa.

Huko mnao ma-seneta na wawakilishi wenye sifa mbalimbali kielimu na historia mbalimbali za utendaji kazi. Tupeni mifano halali ya watu hao ambao wanafanya mambo kama hawa akina Mkono wetu hapa.
Huko Ulaya, je, hakuna wabunge ambao pia ni wanasheria, tupeni mifano ya hao wanaofanya kazi kama hawa wetu hapa akina Mkono.

Inaelekea akina Mkono na wenzake sasa wanataka kutumia mabavu na nguvu nyingi kutetea dhuluma zao; na wanasahau kuwa kadri ya kiasi cha mabavu wanayoyatumia, wananchi nao wanazidi kusukuma kupinga juhudi hizo.
 
Yes indeed, but so far we do not have any law barring lawmakers from being advocates. So the issue here is not really to blame Mkono; we need to lobby to our MPs to enact a law to this effect. One problem our country continues to suffer is to relie on our leaders' wisdom rather than legal and policy frameworks on making important decisions. Unfortunately, too many people who have to make important decisions in our country are simply idiots and devoid of any sense of wisdom!

If no one has never intoduced such a bill then that's a shame. ....but then again this is an African country. What do you expect?....not much!!!!
 
Back
Top Bottom