DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Nafikiri kama ni mtu wa kubadilika vibaya na kuharibika kitabia, atakuwa hivyo tu hata akienda wapi. Na kama ni mtu wa kujifunza, basi atajifunza vizuri pia. Kama ataanza kushika vihela itakuwa poa sana. Juhudi itakuwa kumuongezea uwezo, ufanisi, au mtaji kwa hio fani inayomuingizia vihela kidogo.Ushauri mzuri,
Lakini akishakaa mtaani anawezq kubadilika na kujiunga na makundi hapo ni habari yake inaisha,huwezi kumpeleka chuo kijana ambae ashazoea kushika viela