Nimsaidieje kisaikolojia atoke kwenye hii hali?

Tatizo wanawake ni wengi kuliko wanaume, tusipojitolea wapo wanawake watakosa wapenzi kabisa
Kama unajinasibu kuwa una imani ya kikristo na ukajongea Altareni ukafanya AGANO takatifu la ndoa Huna haja ya kusema haya....

kama ni Islam na umefikisha wake wanner Huna haja ya kusema haya.

Kama ni mzee wa mila kwann uweke mchepuko ilhali taratibu za kufata zipo wazi

Lindeni baraka zenu, jiepusheni na laana. Mnajiongezea stress bila kujua resulting ro vifo vya mapema.

Uzinzi ni laana
 
Kuna kipindi nilikuwa sehemu kikazi mbali na nyumbani nikawa na binti mmoja kama tulizo la upweke.

Ilikuwa kila ninapomuhitaji anakuja na shida zake ndogo ndogo namtatulia. Ilikuwa ni binti decent kimuonekano.

Siku moja ilikuwa nina safari ya kurudi nyumbani. Nilishinda nae siku nzima maana safari ilikuwa ni usiku. Mida ya jioni kulikuja wageni ikabidi yeye abaki chumbani mimi nikawa sebuleni. Kabla ya kwenda sebuleni niliweka pesa nyingi kidogo kwenye droo chumbani lakini nilijua kabisa kiasi chake.

Baada ya wageni kuondoka na muda wa safari kuwadia nilitoa zile pesa na kumpa cha kumpa na kuondoka.

Nilipofika airport kuweka vitu sawa nikagundua ile pesa imepungua kama $500, nikajua moja kwa moja ni yeye.

Baada ya wiki nilirudi huko huko kuendelea na majukumu. Kitu ambacho alikuwa hajui yule binti ni kuwa chumbani kuna camera ambazo kama sio mzoefu huwezi kushtukia.

Nilifika nakutoa SD card na kuangalia siku husika na kumuona binti akichukua pesa na kuficha kwenye sidiria.

Nilimpigia kumjulisha nimerudi na kweli akaja kuniona. Nikamuuliza kama alichukua pesa kwenye droo. Demu alikataa kabisa.
Hapo hapo nakamtumia ile clip ya camera ikimuonyesha anachukua pesa. Alipoifungua message na kuona tu alinyanyuka bila kuaga na kutokomea zake.

Sikumuona tena na hata namba yake ikawa haipatikani tena.

Mwanamke akishikwa wizi na pozi linaisha. Huyo wako atajiondoa mwenyewe maana anahisi thamani yake imeshuka kwako kwa kujua ni kibaka.
 
Mkuu hali iliyokukuta kwa Kiswahili fasaha inaitwa "KIFEWE". Cha msingi utambue mapenzi ni kikohozi, na bibie huwa unampatia pesa kidogo sana za matumizi, mpaka analazimika kukupiga hali ukiwa chakari na umelewa.

Starehe na kumega kitumbua unaendekeza tena kutoka kwa mchepuko! Hali unamfanyia ubahilli hali akitambua fedha za kutosha unazo!?

Tambua yeye ni mdangaji, hivyo ni vyema ukatambua uzito wa wa matatizo yake bonafsi, kisha anza kumpa mtoto fungu la kutosha iñi aweze kutatua baadhi ya shida zake, uone kama atakuja kukuibia tena kwa kificho.

Tambua kila kitu kinachopatikana kwa urahisi huwa kina gharama zake. All in all, kuwa muaminifu katika ndoa yako.
 
Kama unampenda ongea nae ujue shida nini ili uzidishe huduma,Mwite muweke chini baada ya hapo ni mikuno na mikazo tu,kesi kwisha..
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…