Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #81
Bongo raha sana, maisha mafupi hayaHahahaha ila bongo bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo raha sana, maisha mafupi hayaHahahaha ila bongo bwana
Braza sasa hao watoto si ungezaa na bint wa 25 years??? Mtoto anazaliwa mama ana miaka 40 huyo si ninkama bibi yake???Nataka watoto wakucheza nao uzeeni
Mwisho wa tamaa, ni aibuBet only what you can afford to lose!
Sasa unaibia mtu ana malengo na ww😅😅 unabaki na aibu
Binti angelazimisha ndoaBraza sasa hao watoto si ungezaa na bint wa 25 years??? Mtoto anazaliwa mama ana miaka 40 huyo si ninkama bibi yake???
Nimelia sana.
Hakuna bwana..hii ni excuse tu kwakua that thing was by mistake, ..unplanned infactBinti angelazimisha ndoa
Kuna mmoja mwanamitindo ana miaka 23 huko Nigeria, anashawishi hatari; analazimisha nipige chini ndoa iliyopo nimuoe yeye 😀Hakuna bwana..hii ni excuse tu kwakua that thing was by mistake, ..unplanned infact
Hii hatari sana, inatufanya tusiwe tunawaaminiTRA wame kufata hadi kwenye mapenzi,iyo ni kodi ya husiano uchukuliwa kwenye account bila taarifa
Ila we jamaa inaonekana mzinzi sana.Kuna kipindi nilikuwa sehemu kikazi mbali na nyumbani nikawa na binti mmoja kama tulizo la upweke.
Ilikuwa kila ninapomuhitaji anakuja na shida zake ndogo ndogo namtatulia. Ilikuwa ni binti decent kimuonekano.
Siku moja ilikuwa nina safari ya kurudi nyumbani. Nilishinda nae siku nzima maana safari ilikuwa ni usiku. Mida ya jioni kulikuja wageni ikabidi yeye abaki chumbani mimi nikawa sebuleni. Kabla ya kwenda sebuleni niliweka pesa nyingi kidogo kwenye droo chumbani lakini nilijua kabisa kiasi chake.
Baada ya wageni kuondoka na muda wa safari kuwadia nilitoa zile pesa na kumpa cha kumpa na kuondoka.
Nilipofika airport kuweka vitu sawa nikagundua ile pesa imepungua kama $500, nikajua moja kwa moja ni yeye.
Baada ya wiki nilirudi huko huko kuendelea na majukumu. Kitu ambacho alikuwa hajui yule binti ni kuwa chumbani kuna camera ambazo kama sio mzoefu huwezi kushtukia.
Nilifika nakutoa SD card na kuangalia siku husika na kumuona binti akichukua pesa na kuficha kwenye sidiria.
Nilimpigia kumjulisha nimerudi na kweli akaja kuniona. Nikamuuliza kama alichukua pesa kwenye droo. Demu alikataa kabisa.
Hapo hapo nakamtumia ile clip ya camera ikimuonyesha anachukua pesa. Alipoifungua message na kuona tu alinyanyuka bila kuaga na kutokomea zake.
Sikumuona tena na hata namba yake ikawa haipatikani tena.
Mwanamke akishikwa wizi na pozi linaisha. Huyo wako atajiondoa mwenyewe maana anahisi thamani yake imeshuka kwako kwa kujua ni kibaka.