Nimsaliti mpenzi wangu?

kumbe humu kuna wanafunzi wa sekondary daaa adm ondoa huyo mtoto akasome
 
Kwani mtu huwezi kuchagua msichana wa kuoa ukiwa unasoma?????.
 
Yaan uko sekondari unaahidi kuoa haaaaaa

Mkuu umeona! !!!
ahadi hizi zinatolewa wakati huyo anayetaka kuowa hajitambui, hivi akiwa makini sana anaweza kusoma kwanza Akimaliza ndiyo hiyo biashara sasa.

Nimeona Dada Kasoma kuanzia shule ya Msingi hadi Elimu ya Masters lakini muda huu hana Mchumba
inaweza kuwa wahioahidi walikuwa na uamuzi kila uchao.
 
Me nishasema hapa,hili jukwaa wakat wakujiandikisha kuwa member inatakiwa vyeti vyakuzaliwa viambatanishwe...
 
Kusoma Nasoma Na Niko Vizuri Darasan Kwa Masomo Yang Nakimbiza Darasan,bt Ukwel Nampenda Sana Yule Mdada

Kukimbiza darasani hakiwezi kuwa kipimo cha wewe kuwa bright.

What if unawakimbiza vilaza wenzako yaani wewe pengine ndo kilaza anayejitutumua.

Msema kweli NECTA tu kijana kwa hiyo level yako nakushauri achana na hizo makitu utazungusha tu.
 
Watoto nao wangetafutiwa jukwaa lao pia humu jf..!!
 
Soma kwanza mapenzi baadaye kuongoza darasani haimaanishi utayaongoza mapenzi.
 
Kukimbiza darasani hakiwezi kuwa kipimo cha wewe kuwa bright.

What if unawakimbiza vilaza wenzako yaani wewe pengine ndo kilaza anayejitutumua.

Msema kweli NECTA tu kijana kwa hiyo level yako nakushauri achana na hizo makitu utazungusha tu.

ni kweli bt kwa level yang am sure niko vizuri
 
hazikutoshi
 
Kwa mwandiko huu kweli unawakimbiza dogo

Mkimbizaji = yupo nyuma
Mburuzaji = yupo mbele
 
Kwani mtu huwezi kuchagua msichana wa kuoa ukiwa unasoma?????.

Usichokijua kwa sasa ni kwamba kuna wanawake zaidi ya watano mbele yako ambao watakusahaulisha kabisa huyo mrembo wako. You are just infatuated bwana mdogo. Atakutoka utasahau hadi sura yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…