Nimsaliti mpenzi wangu?

Nimsaliti mpenzi wangu?

Jamani mwaka jana mwez wa 5 nilifanikiwa kupata mpenzi ambaye ni mzuri sijawah ona. Alikuwa Anagombaniwa na kila mtu mtaani. Alikuwa Ananipenda sana, tulikubaliana tutaoana.Alikuwa ni mgeni mtaa coz alifiwa na baba yake Mbeya so akaja kwa sista yake Songea mara 1.

Alikuwa olvl,hadi mama alijua kama tuna mahusiano na alikuwa b.k coz nilishawahi kuingia nae geto nikajaribu kusex but ilishndkana coz alikuwa muoga pia hakuwah kabisa had tukagombana baada ya mda tukapatana.Tulikuwa Pamoja kama miezi miwili kabla ya mimi kupata nafasi ya kwenda kusoma a level.

Yeye alibaki mtaani hadi pale alipoondoka mwezi baada ya mimi kuondoka kaenda kwa mama yake kusoma. Nilirudi likizo sikumkuta niliumia sana na sijawahi kuwasiliana nae toka mda ule kaondoka ilihali niliwahi mpa namba yangu siidhani kama aliitunza.

Lakini nikiwa huku shule nimekutana na wadada wengine wazuri ila hawamzidi yeye ambao nimeanza kushawishika kuwa nao coz nahisi siwezi onana nae tena.

Naombeni ushauri nimsaliti au nimsubiri hadi pale siku tutakapoonana tutimize ahadi yeut ya kuoana.

tuliza kidude hicho! soma dogo! ooooohoooo
 
Hii stori...
Hii stori...

Hii stori nikikumbuka huwa nalia...
 
Maliza shule unasumbuliwa na nyege! Mapenzi hayaishi ila shule ina muda maalumu. Fanya lililokupeleka shule
 
Kama kuna pichi amabayo imeshauriwa vzr ni hii soma kwanza
 
Kukimbiza darasani hakiwezi kuwa kipimo cha wewe kuwa bright.

What if unawakimbiza vilaza wenzako yaani wewe pengine ndo kilaza anayejitutumua.

Msema kweli NECTA tu kijana kwa hiyo level yako nakushauri achana na hizo makitu utazungusha tu.

Hajui ya kwamba kuna akili za darasani na za maisha. Nidhahiri huyu hata za maisha hana, yaani karudi likizo tuu anawaza mwanamke.. Idiot!
 
Jamani mwaka jana mwez wa 5 nilifanikiwa kupata mpenzi ambaye ni mzuri sijawah ona. Alikuwa Anagombaniwa na kila mtu mtaani. Alikuwa Ananipenda sana, tulikubaliana tutaoana.Alikuwa ni mgeni mtaa coz alifiwa na baba yake Mbeya so akaja kwa sista yake Songea mara 1.

Alikuwa olvl,hadi mama alijua kama tuna mahusiano na alikuwa b.k coz nilishawahi kuingia nae geto nikajaribu kusex but ilishndkana coz alikuwa muoga pia hakuwah kabisa had tukagombana baada ya mda tukapatana.Tulikuwa Pamoja kama miezi miwili kabla ya mimi kupata nafasi ya kwenda kusoma a level.

Yeye alibaki mtaani hadi pale alipoondoka mwezi baada ya mimi kuondoka kaenda kwa mama yake kusoma. Nilirudi likizo sikumkuta niliumia sana na sijawahi kuwasiliana nae toka mda ule kaondoka ilihali niliwahi mpa namba yangu siidhani kama aliitunza.

Lakini nikiwa huku shule nimekutana na wadada wengine wazuri ila hawamzidi yeye ambao nimeanza kushawishika kuwa nao coz nahisi siwezi onana nae tena.

Naombeni ushauri nimsaliti au nimsubiri hadi pale siku tutakapoonana tutimize ahadi yeut ya kuoana.
Shauri yako
 
Back
Top Bottom