HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,204
Jamani mwaka jana mwez wa 5 nilifanikiwa kupata mpenzi ambaye ni mzuri sijawah ona. Alikuwa Anagombaniwa na kila mtu mtaani. Alikuwa Ananipenda sana, tulikubaliana tutaoana.Alikuwa ni mgeni mtaa coz alifiwa na baba yake Mbeya so akaja kwa sista yake Songea mara 1.
Alikuwa olvl,hadi mama alijua kama tuna mahusiano na alikuwa b.k coz nilishawahi kuingia nae geto nikajaribu kusex but ilishndkana coz alikuwa muoga pia hakuwah kabisa had tukagombana baada ya mda tukapatana.Tulikuwa Pamoja kama miezi miwili kabla ya mimi kupata nafasi ya kwenda kusoma a level.
Yeye alibaki mtaani hadi pale alipoondoka mwezi baada ya mimi kuondoka kaenda kwa mama yake kusoma. Nilirudi likizo sikumkuta niliumia sana na sijawahi kuwasiliana nae toka mda ule kaondoka ilihali niliwahi mpa namba yangu siidhani kama aliitunza.
Lakini nikiwa huku shule nimekutana na wadada wengine wazuri ila hawamzidi yeye ambao nimeanza kushawishika kuwa nao coz nahisi siwezi onana nae tena.
Naombeni ushauri nimsaliti au nimsubiri hadi pale siku tutakapoonana tutimize ahadi yeut ya kuoana.
tuliza kidude hicho! soma dogo! ooooohoooo