Nimshauri nini Rafiki yangu baada ya kumpa mimba mke wa mtu

Nimshauri nini Rafiki yangu baada ya kumpa mimba mke wa mtu

Asante kwa hadithi nzuri..waru wa tandika mna hekaya nzuriiii
 
Hvi matokeo ya darasa la nne hayajatoka tu?
 
mwambie asubiri hiyo mimba ihamie tumboni kwake ndio ahame, ila aandae na mahali ya watu kwa ajili ya kurudisha.
 
wambie wazae tu hakuna jinsi unless walipeana hiyo mimba wakiwa wamerukwa na akili wote wawili
 
Yeye asiwe na wasi wasi.Aendelee kukaa hapo jamaa atampima suti kwa fundi maarufu hapo mtaani!
 
Nina jamaa yangu amepanga chumba kimoja uko Tandika, sasa katika nyumba iyo iyo chumba kingine kuna dada nae amepanga na mume wake. Jamaa kiukweli ni mtanashati fulani na kwa jinsi alivyo ni mtu wa vimwana sana. Kumbe yule dada alikuwa anamzimia sana yule jamaa yangu ingawa yule mdada ana mume wake mule ndani.

Sasa kilichotokea japokuwa hakunieleza kwa undani jamaa alikuwa anakamata ule mzigo wa mtu, na kwa bahati mbaya jamaa alikuwa hana kazi maalum kwaiyo yeye alikuwa anakamua sana mchana wakati yule mume wa yule demu akiwa kazini.

Walijenga mazoea sana kiasi kwamba mpaka chakula alikuwa anapikiwa na yule demu mchana, demu akishapika huwa anaweka chakula kwenye ndoo ya maji ya kuoga alafu kwasababu walikuwa wanaitumia wote na jamaa anajifanya kama anataka kwenda kuoga anachukua ile ndoo anaingia nayo ndani, anachukua chakula anakula.

Inavyoonekana majirani walishashtukia mchezo na mwenye mke alishapewa dodosi kuwa mkeo analiwa ila kilichokuwa kinamfanya asiamini jamaa alikuwa anaingiza vimwana sana mule ndani , hii ilimfanya hata yule mke wa mtu alikuwa anaona wifu ila jamaa alikuwa anasisistiza kuwa yeye anafanya vile ili kuweka mambo sawa mule ndani ili jamaa asishtukie mchezo, yule mke wa mtu ilibidi awe mpole.

Sasa kilichotokea ni kwamba jamaa kampa mimba yule mke wa mtu kwani kuna kipindi kirefu jamaa alisafiri na yule jamaa yangu ndo alikuwa anagonga kama ya kwake vile maana alikuwa analala nayo ndani kwake kabisa. Ila mwenye mke kwa furaha aliposikia habari za mimba ndo kwanza kalifurahia kuwa sasa anapata mtoto wakati mke mchezo mzima anaujua.

Sasa kilichotokea ni kwamba jamaa amenifata nimpe ushauri kuwa ahame ama la kabla ya mtoto kuzaliwa kwa sababu anajihisi kuwa anadamu kali kiasi kwamba mtoto atakae zaliwa lazima atafanana nae manake uyu jamaa ana mtoto mwingine kafanana nae kila kitu.

Nimeona ili jamabo niliweke umu kuomba ushauri wenu, nimshauri vipi uyu jamaa manake anajihisi aya mambo yatakuja lipuka mtoto atakapozaliwa.

Basi jamaa kweli ana damu kali,yani wamefanana mpaka "UBOHO" loh
Sasa kwanini alikua anamkojolea mke wa mtu?

Au jamaa ni fundi wa kulamba sana chumvi?
 
Wewe ni mhusika wa hii habari! Jiandae!
 
Mamu hapana sio story yangu hii, mi natafuta ushauri wenu tu nimshauri uyu jamaa

Haya mshauri huyo dada/mama/mchepuko; ajifanye ana hamu ya ajabu then ampelekee jamaa mzigo (hapa huyo jamaa yako amuwezeshe nauli tu) hata kama yuko Somalia. Jamaa (mme) akilamba tu, inakuwa yake.
 
Wake za watu wanaelewa haraka na wala hawana ghalama cozi mitombo yaki tu yatosh
 
Back
Top Bottom