Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

Definitely, and God bless you my Smart911 am so grateful for your help and support the time I needed them.

Thank you so much Smart911 [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
No worries my super dear...

Anytime count on me...
 
Safari ya kusomesha inaendelea, sasa tunaenda A-level, yatakayoyokea kabla sijaoa nitawajuza panapo uhai. Tukifanikiwa kua pamoja nitakuja mpa hii thread aisome.
Kwa bahati mbaya au nzuri bado hatuna physical contact ila naamini yaliomo yamo wahuni hawajalamba asali.
 
Ujasiri ulionao hata kuzimu unapamudu.

Kila la kheri...[emoji847][emoji847]
 
Usije kulialia hapa akikwambia wewe sio type yake
 
Siyo mbaya,hata ikitokea tofauti.Utalipwa na Mungu.Kikubwa imani.
 
Huna akili
 
Ukweli hajui kma ninania hiyo, ila akiniona anaaibu sana na muda mwengine hujificha , sijajua kma hanipendi au nini, ila mimi namkubari sana ingawa najua safari sio ndogo mana four years ahead apo kati kunamengi
Kama mwanamke anashawishiwa akiwa kwenye ndoa anachepuka sembuse huyo ambaye hajakutana na vishawishi

Hizo hela naamini huna kazi nazo na ni bora upoteze hela kwa kumsomesha kuliko uje umkose hao viumbe usiwaamnini otherwise msainishe mkataba kwa mwanasheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…