Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
- Thread starter
-
- #61
Please Belinda unweza kuni PM mfano wa hiyo lugha nyepesi. u mfano wa lugha ambayo wewe mwenewe ukisikia hata kama utanikatalia lakini utapenda kuisikia?Nenda straight kwa point ila lugha iwe nyepesi na yenye upendo. halafu msikilizie,lol
usinicheke sina kigugumizi lakini kujieleza ndo issue.
Usishangae hayo mashairi ukiyakuta kwenye kwenye dawati lako kesho. teh teh teh kuna watabiri kina sheikh yahya hapa.Preta said:hashy beeebi....jeeeeeez...is this you....my my my......you are killing softly you know
Lete mawazo basi kamanda. huyu kwa hisia ninazozopata atakuwa ni wa kike tu.Mallaba said:duh yaani kumbe inaonyesha kuwa jamaa yuko serious kabisa,halafu wala hajui hata jinsia yake ni ipi? hujui kuwa wengi hapa wanatumia avatar za ajabu tu ambazo hazina uhusiano kabisa na jinsia zao? ila kwa wewe kazi ipo sio mchezo..