Nimuanzeje ?

Nimuanzeje ?

Nenda straight kwa point ila lugha iwe nyepesi na yenye upendo. halafu msikilizie,lol
Please Belinda unweza kuni PM mfano wa hiyo lugha nyepesi. u mfano wa lugha ambayo wewe mwenewe ukisikia hata kama utanikatalia lakini utapenda kuisikia?
usinicheke sina kigugumizi lakini kujieleza ndo issue.

Preta said:
hashy beeebi....jeeeeeez...is this you....my my my......you are killing softly you know
Usishangae hayo mashairi ukiyakuta kwenye kwenye dawati lako kesho. teh teh teh kuna watabiri kina sheikh yahya hapa.

Mallaba said:
duh yaani kumbe inaonyesha kuwa jamaa yuko serious kabisa,halafu wala hajui hata jinsia yake ni ipi? hujui kuwa wengi hapa wanatumia avatar za ajabu tu ambazo hazina uhusiano kabisa na jinsia zao? ila kwa wewe kazi ipo sio mchezo..
Lete mawazo basi kamanda. huyu kwa hisia ninazozopata atakuwa ni wa kike tu.
 
Watalaam wa mahusiano wa kiume na kike

Siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike.

Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho inasuuzika.teh teh teh . KIla nikiona Avatar Uwiiiiiii bababe udenda ndo unanitoka kabisa

Imetokea tu ghafla sijui umbo lake ,hobbies zake dini yake wala kabila lake.

Kibaya au kizuri zaidi naogopa kumwambia sababu sipendi na nachukia kukataliwa. Naweza kuugua mwezi mzima au nikakimbia hata hapa JF .

Nimuanzeje?

Nawasilisha kwa ushauri nasaha

kwa jinsi JF ilivyo muhimu sizani kama atakusababisha ukose JF.....bila JF life inasuasua
 
i clap 4 u good boy!!
am pm haya maneno
m your secret admirer,
your the one i desire..
From the first time i saw you comment, my feelins for you sparked like fire
please try to understand,
im afraid to let my feelins show,
but i dont want to be left alone...
I just want to hold you close and never let you go..
But so far all i have are dreams of you
i never thought it was possible to fall in love with you..
Your so sweet and caring..
I must be dreaming..
Im your secret admirer,
if only you knew that my love for you has been set on fire
but im trying to be careful,
i dont want to be left heartbroken..
Im just your secret admirer,
and thats all i'll ever be..
 
watalaam wa mahusiano wa kiume na kike

siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike.

Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho inasuuzika.teh teh teh . Kila nikiona avatar uwiiiiiii bababe udenda ndo unanitoka kabisa

imetokea tu ghafla sijui umbo lake ,hobbies zake dini yake wala kabila lake.

Kibaya au kizuri zaidi naogopa kumwambia sababu sipendi na nachukia kukataliwa. Naweza kuugua mwezi mzima au nikakimbia hata hapa jf .

nimuanzeje?

Nawasilisha kwa ushauri nasaha

hali yako ni zaidi ya ulemavu...!!!
 
hali yako ni zaidi ya ulemavu...!!!

Hahahhahah

R u sure u wewe Mkeshahoi uko honest? Ukiulizwa what is your bigeest weakness utasemaje?

otherwise ni wachache sana mmejaliwa u perfect. Hongera.........!!!

hatimaye nimeupata cheki PM yako. mlengwa mwenyewe ni wewe

teh teh teh

Wacha weee.......ngoja nikaone kaa umeweza kulitendea haki shairi ulopewa kutumia!:tongue:

Kaa nini tunakulazimisha wende shule kwa Kimbweka ......hahahha
 
Watalaam wa mahusiano wa kiume na kike

Siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike.

Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho inasuuzika.teh teh teh . KIla nikiona Avatar Uwiiiiiii bababe udenda ndo unanitoka kabisa

Imetokea tu ghafla sijui umbo lake ,hobbies zake dini yake wala kabila lake.

Kibaya au kizuri zaidi naogopa kumwambia sababu sipendi na nachukia kukataliwa. Naweza kuugua mwezi mzima au nikakimbia hata hapa JF .

Nimuanzeje?

Nawasilisha kwa ushauri nasaha
teh teh, mweleze tu - ukikataliwa utaugua mwezi mmoja, usipomuambia utaugua zaidi ya mwezi mmoja!
kwanza kwa kuweka bayana kama hivi "ushamlegeza" tayari- hivyo probability kubwa utampata (sijui wamtaka kwa long ama short term!)
 
Nashukuru sana great thinkers wote.
Nashukuru vile vile sababu hata mlengwa naye kaja hapa sasa njaribu kuchakacua lile shairi nililopewa nimtumie.

Mwisho wa Sinema . Cha mbavu niakachopigwa itkuwa siri yangu.
Mtanisamehe sitaweza kuendelea kushare info nanyi wajumbe

Long live JF.

hapo umetuweza sie wambeya!LOL
 
AU akilete hapa JF wana GT watamsaidia ku-translate

hahahahahah lol wewe acha utundu...
hapa si kila mtu ata translate kwa ujuzi wake..
halafu Mtazamaji atabaki kuchanganyikiwa .....lol
hapo alipo amesha changanyikiwa vya kutosha...lol
 
Watalaam wa mahusiano wa kiume na kike

Siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike.

Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho inasuuzika.teh teh teh . KIla nikiona Avatar Uwiiiiiii bababe udenda ndo unanitoka kabisa

Imetokea tu ghafla sijui umbo lake ,hobbies zake dini yake wala kabila lake.

Kibaya au kizuri zaidi naogopa kumwambia sababu sipendi na nachukia kukataliwa. Naweza kuugua mwezi mzima au nikakimbia hata hapa JF .

Nimuanzeje?

Nawasilisha kwa ushauri nasaha

Jitoe ufahamu kisha ingiza timu....There is no guarantee for success if you try, but there is a guarantee for failure if you don't try and failure is not an acceptable option.
 
Watalaam wa mahusiano wa kiume na kike

Siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike.

Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho inasuuzika.teh teh teh . KIla nikiona Avatar Uwiiiiiii bababe udenda ndo unanitoka kabisa

Imetokea tu ghafla sijui umbo lake ,hobbies zake dini yake wala kabila lake.

Kibaya au kizuri zaidi naogopa kumwambia sababu sipendi na nachukia kukataliwa. Naweza kuugua mwezi mzima au nikakimbia hata hapa JF .

Nimuanzeje?

Nawasilisha kwa ushauri nasaha

Mwambie wataka urafiki wa keyboardy!!!!!!!!!!!!!ah aha ah (Wakumbuka Urafiki wa kalamu...siku zile..utandawazi ulikuwa bado!)
 
Kwa hiyo bado unaogopa kumwambia hahah nautia shaka uanaume wako ...
usharahishisha njia na kuwa mteremko lakini mwenyewe hujiamini
 
Watalaam wa mahusiano wa kiume na kike

Siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike.

Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho inasuuzika.teh teh teh . KIla nikiona Avatar Uwiiiiiii bababe udenda ndo unanitoka kabisa

Imetokea tu ghafla sijui umbo lake ,hobbies zake dini yake wala kabila lake.

Kibaya au kizuri zaidi naogopa kumwambia sababu sipendi na nachukia kukataliwa. Naweza kuugua mwezi mzima au nikakimbia hata hapa JF .

Nimuanzeje?

Nawasilisha kwa ushauri nasaha

...ha ha ha,

Haya maradhi ya kupenda "lakini naogopa kumwambia!" naona yanashika kasi tukielekea sikukuu ya Noeli mwaka huu.
 
Back
Top Bottom