Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mwmambie hulali usiku unamuota, ukinywa maji unamuona kwenye glasi, yeye ndo pumzi yako iliyoko kwene maandishi, muulize hobbies zake halafu conclude kwa kumwambia kua, una kiwango kikubwa cha Uzinzi kiasi kwamba hata avatar na comment tu unachanganyikiwa!!! just kidding Mpwa, jaribu tu kuanzisha kauhusiano ka kawaida ili ujiridhishe kwanza kwamba kweli utakapo-introduce issue atakuelewa!! ili kuepuka fedheha, kama vipo nipe mm hio tender yakukuwekea mambo sawa....Halafu uniruhusu nitesti kama amekubali!!