Nimueleweje mpenzi wangu

Nimueleweje mpenzi wangu

MP cycle za wasichana wa umri wako huwa hazina msimamo sana,kuzihesabu sio jambo la kutumia kuzuia mimba kwani hazitabiriki!All in all,imeshatokea na kwa sasa inabidi uwe jasiri na mwenye busara,mimba sio sumu binti,kadri utakavyoonyesha ujasiri wa kumudu hii hali ndivyo baadaye utakavyoheshimika kama mama.Huyo jamaa ni muoga tu,wote tumetokea kwenye mimba,waeleze wazazi wako namna ya kuongea naye huyo man wako,then ukiweza mhakikishie kwamba hatolazimishwa kukuchukua ama kukuoa kwa sasa,vilevile...USISAHAU KUSALI!Mlilie Mungu wako wakati huu wa shida na atakusikia!
Utalaumiwa sana,utasemwa sana,utadharauliwa sana lakini ukiweza kusimama na kusonga mbele,WATAKUSIFIA BAADAYE!!!

asante sana.
 
Mtoto ni baraka,utaona biashara yako itakavyokwenda vizuri sasa!Utasahau shida zote soon!
 
Jmturu
Pole na jilo. Hata hivyo naomba nikupongeze kwa ujasiri wako wa kuilea mimba yako. Kwa hilo unastahili smile moyoni.
Mradi umeshajitambua kuwa una uja uzito na unatakiwa kujifungua mtoto huyo. Ongea vizuri na wazazi wakupe support katika kipindi hiki. Usihangaike na mwenye mimba kwani kama ulivyoweka hapa hujui ni kwa nini ameamua hivyo alivyoamua. Wengi hapa tunaassume tu kuwa ni uwoga lakini mwenyewe kasema hatofanya hilo bila kukweleza kwa nini. Mwache kwa sababu kama ni uoga, ukimlazimisha haimsaidii sana sana itamtia hacra na kumkimbiza kabisa. Mwache ajitambue mwenyewe atakuja tu kama ndiye uliyepangiwa awe wako.

Inawezekana tunasema ni uwoga kumbe yeye alikuwa ni mharibifu tu, hana mpango wa wewe wala mtotot. So usimalize nguvu zako na kumnyima mtotot afya njema akiwa tumboni. heshimu maamuzi yake na kaa kimya.

Kila la kheri.
 
pole bi shost.wanaume wengine,unaweza ukadhani ana mapenzi na wewe,kumbe sivyo hivyo kabisa. unaweza ukamuamini kwa asilimia zote,na ukahisi huyo ndio mwenza wako,kumbe yeye ana mawazo tofauti kabisa.utaijua true colour yake,pale unapopata ujauzito,kidogo kidogo atakukwepa au atakutafutia vijisababu.kama kutokea,imeshatokea mtoto ni baraka.focus na ujauzito wako,huyo mtu asikutie pressure kabisa,waelezee wazazi hali halisi ilivyo.siku nyengine,itakuwa funzo kwako.wanaume hawatabiriki.
 
Ama kweli wewe tindikali!!!!Hajaomba lawama,kaomba ushauri,na kama unaona huwezi kumshauri kwa hilo,PIGA KIMYA!

kwa akili ya kawaida tu unadhan anaweza akaomba lawama? Hapa lazima akubali kwamba alifanya uzembe na makosa. Simuelewi anapodai wanaaminiana na wanajua status zao, lakini kavuna alichokipanda. Ikiwa alipanda mihogo hawezi kuvuna miwa, ila kikubwa akubali matokeo.,hasijaribu kumlazimisha huyo jamaa kufanya asìchotaka. Wengi yamewakuta, walijiamini kama wao, maisha yalisonga na wako na furaha na watoto.
 
kwa akili ya kawaida tu unadhan anaweza akaomba lawama? Hapa lazima akubali kwamba alifanya uzembe na makosa. Simuelewi anapodai wanaaminiana na wanajua status zao, lakini kavuna alichokipanda. Ikiwa alipanda mihogo hawezi kuvuna miwa, ila kikubwa akubali matokeo.,hasijaribu kumlazimisha huyo jamaa kufanya asìchotaka. Wengi yamewakuta, walijiamini kama wao, maisha yalisonga na wako na furaha na watoto.
Imeshapita hiyo,umechelewa kwa sasa anaomba ushauri baada ya matokeo!
Nyie ndio wazazi mnaowezafanya binti zenu wajiue kisa lawama!Soma nyakati mkuu!
 
Pole bi dada na hongera kwa ujasiri

bt nina wasiwasi na huyo mwanaume ninaassume kwamba hakuwa na mapenzi ya dhati kwako mybe kwake mlikuwa kama wawili na zaidi hivi

Sio issue sana maadam ashasema hatoweza kuja nyumbani kwenu kujitambulisha na khs uoga wake sina uhakika sana kwasbb ujasiri wa m2 huja kwa kituunachokipenda na uoga huletwa na kutokijali kabisa,sikiza mwanamke achana nae kwakua ushaongea naye kakataa,akijirudi mpokee

wewe ongea na wazazi kama utaona vibaya kwenda mojakwamoja kwa wazazi tuma mtu wa karibu na wazazi wako mweleze yote kila kitu

natumaini watakusikiliza, usiogope hasira za wazazi ni lazima watakasirishwa na hilo swala lkn baadae watakua sawa tu.
 
Jmturu pole sana...Mara nyingi wanaume husifiwa kwa ujasiri lakini inapokuja issues kama hizi mara nyingi mwanamke anakuwa jasiri kuliko mwanaume ..mfano ni hawa wawil..chunga mdomo wako sana usijutie matokeo ya experiment yako uliyoifanya maana ur old enough to understand..ongea na bf wako mweleze kuwa wazazi wana haki ya kumjua yeye maana mambo ya kujifungua ni magumu sometimes...tumesikia au kuona wenzetu wanaoenda kujifungua wakaacha watoto na wao kutangulia mbele za haki...sikutishii ila kijana asipojulikana mtamyima mtoto haki ya kumjua baba yake (nakuombea kwa Mungu ujifungue salama) tena basi ikibidi akupeleke kwao na habari hizi zifike kwao pengine wazazi wake watashauri jinsi ya kwenda kwenu....illa chunga afya yako ,jiepushe na mawazo itakusaidia kuepuka pressure za ujauzito..usishangae kuona wengine wanakuwa wakali wengi wanaguswa na hisia zao za ndani wanaimagine ikiwa wewe ni mtoto au mdogo wake ikitokea hivi haileti raha kawkweli ila tunasahau kuwa maji yakishamwagika hayazoleki..na pia mtu hadi kufikia kuleta shauri lake hapa anaamini hamtompiga mawe zaidi mtamsikiliza na kumsaidia ..mimi kama dada yako nimeumia ila Mungu akutie nguvu upite salama (NO ONE IS PERFECT) AN NYIE VIJANA WENGINE JIFUNZENI KUPITIA MWENZENU HUYU!LEO HUYO BF MNA SWEET NOTHING ILA IKITOKEA MIMBA YEYE ANAKAA PEMBENI ..
 
Me naona la kusema cna coz yote yaliyotokewa ni mazuri,labda cha kutilia nguvu ni kwamba filiria vipi utaweza kuilea mimba pmj na mtt wako mtarajiwa.
 
Habari zenu wana jamii?
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20,nina boyfriend ambaye tulitokea kupendana sn. Ktk mahusianö ye2 ikatokea kuwa nimepata ujauzito kwa bahati mbaya.
Kiukweli cjawah kushiriki vitendo vya abortion hvyo niliogopa sn na kuamua kuitunza hii mimba kwa kuwa pia muhusika alikuwa tayari na aliniahidi kuwa pa1ja nami hadi mwisho na kuwa baba mzuri kwa kaming kid wake.
Tatizo,ni miezi5 sa2 tangu niwe mjamzto nyumbani kwe2 wanataka kumjua mwanaume aliyenipa mimba hii aende rasmi akajitambulishe na kuhaki2shia familia kuwa huu mzigo ni wake. Mwanaume hataki ht kusikia kwenda home,na kanihaki2shia hatafanya hvyo kamwe.
Mimi hii inaniumiza kichwa sn kwani cjui huyu mwanaume amepanga ni2 badae kwa kusema hvyo ingawaje ananihakikishia atawajibika km ba2 kwa mtoto wake . Then home watanielewaje coz ht cjui jibu la kuwapa. Nisaidieni ushauri wanajamii.
nakushauri usimshinikize huyo mwenzako maana inaonekana ni muoga bado hasa kwa kitu km hicho,ukimbana sana hataonekana tena na atakuwa anakukimbia,jaribu kumtia moyo kwani naye ana wkt mgumu pia,ilimradi bado yupo karibu nawe basi hamna shinda,taratibu atarejea na wala usimgombeze wala kumtisha,tayari yameishatokea inakubidi kuwa na busara sana wkt unaongea nae ili aone umuhimu wa kuwa nawe ktk maisha
 
ninavyojua mimi bahati mbaya haipo, ila kuna uzembe. Ulikuwa unakimbilia wapi? Hivi wakati unampanulia miguu ulikuja kuomba ushauri? Ndiyo maana mnafeli, lazima utakuwa na zero wewe.

Daaah........hii ndo Jf bana, vichungu na vitamu vyote unapewa!!
 
usimlazimishe labda hayupo tayari mradi kakuhakikishia kuwajibika kwa mwanae usije lazimisha ndoa sbabu ya mimba ina athar zake mbeleni
 
Jmturu
Pole na jilo. Hata hivyo naomba nikupongeze kwa ujasiri wako wa kuilea mimba yako. Kwa hilo unastahili smile moyoni.
Mradi umeshajitambua kuwa una uja uzito na unatakiwa kujifungua mtoto huyo. Ongea vizuri na wazazi wakupe support katika kipindi hiki. Usihangaike na mwenye mimba kwani kama ulivyoweka hapa hujui ni kwa nini ameamua hivyo alivyoamua. Wengi hapa tunaassume tu kuwa ni uwoga lakini mwenyewe kasema hatofanya hilo bila kukweleza kwa nini. Mwache kwa sababu kama ni uoga, ukimlazimisha haimsaidii sana sana itamtia hacra na kumkimbiza kabisa. Mwache ajitambue mwenyewe atakuja tu kama ndiye uliyepangiwa awe wako.

Inawezekana tunasema ni uwoga kumbe yeye alikuwa ni mharibifu tu, hana mpango wa wewe wala mtotot. So usimalize nguvu zako na kumnyima mtotot afya njema akiwa tumboni. heshimu maamuzi yake na kaa kimya.

Kila la kheri.

U have said it all Mj1.....sina cha kuongeza,thanks!!!
 
Jamani nashukuru wote mlionipa ushauri,ckutegemea km moyo wangu utapata ujasiri kiasi hiki. 4 sure JF is the home of great thinkers. Pia cjawasahau kuwashukuru na wale wote walonikebeh,kuni beza na hata kuni2pia lawama cuz i heard hapa utapewa vichungu na vitamu. MUNGU AWE NANyI nyote.
 
Jmturu, sitakulaumu! Najaribu tu kujiuliza, hivi kwa nini ktk nchi hii unakuta mtu mzima (above 18) mwenye akili timamu; akimuona traffic officer ndo anavaa belt ya gari? Mwingine unakuta anaendesha pikipiki barabarani huku amepachika helmet kwenye side mirror! Wapenzi wasiotaka mimba lkn wanaenda pekupeku kwa visingizio kuwa wanaaminiana! Tuna elimu lkn hatuitumii inavyostahili, mbeleni watoto wa baba mmoja watakuwa wanaoana bila habari! Leo kwa uzembe unampa binti mimba hlf unakimbia, huko unakokwenda unapata watoto tena, pata picha hawa watoto wakikutana na hawajuani kabisa! Mtu unasafiri, kwa tamaa unafanya ngono bila kondom kwa kisingizio kuwa mmepima, kwa mtindo huu kuna watu wana watoto kibao wasiowajua ktk miji tofauti hapa bongo!
 
Msikilize mwanajamiione ndo ushauri wangu!
 
Duh kastarehe ka dakika chache kamekuletea mkanganyiko wa maisha, pole sana umeangukia kwenye bahati mbaya ya kukataliwa, huyo hana nia na wewe, kwa kijana yeyote anayejua maana ya afya ya mama mjamzito asingefanya hivo, sasa focus kwenye malezi ya mimba yako maana ukiendeea na mawazo kama hayo utakujapata matatizo ya kukosa maziwa ya kumnyonyesha mtoto, stress wakati wa ujauzito hukata maziwa kabisa
 
Duh nimesma nyngi humu hakuna aliejtolea hv hakuna mwenye huruma km bb?mi niseme neno 1 2 mwenzio nimeachwa na nilikua nataman mtoto kweli kumbe mwenzangu kaweka kijiti(Uzazi wa Mpango)mi cjui nakazana kupga bao kumbe najichosha bure.xaxa kma jamaa haeleweki njoo 2anzishe familia 2tailea mimba then mtoto after all we utarudi shule mi utaniacha na mtoto nalea please ni PM kama hutojari akikuöna wa nini mi nawaza ntakupata lini piga moyo konde.
 
Back
Top Bottom