Jmturu
Member
- Oct 13, 2011
- 56
- 9
- Thread starter
- #21
MP cycle za wasichana wa umri wako huwa hazina msimamo sana,kuzihesabu sio jambo la kutumia kuzuia mimba kwani hazitabiriki!All in all,imeshatokea na kwa sasa inabidi uwe jasiri na mwenye busara,mimba sio sumu binti,kadri utakavyoonyesha ujasiri wa kumudu hii hali ndivyo baadaye utakavyoheshimika kama mama.Huyo jamaa ni muoga tu,wote tumetokea kwenye mimba,waeleze wazazi wako namna ya kuongea naye huyo man wako,then ukiweza mhakikishie kwamba hatolazimishwa kukuchukua ama kukuoa kwa sasa,vilevile...USISAHAU KUSALI!Mlilie Mungu wako wakati huu wa shida na atakusikia!
Utalaumiwa sana,utasemwa sana,utadharauliwa sana lakini ukiweza kusimama na kusonga mbele,WATAKUSIFIA BAADAYE!!!
asante sana.