Nimuoe nani?

Sifahamu nafanyaje kumpm mtu
 
Plato kaomba ushauri, ajabu watu wanaanza kumtukana. Kama huna ushauri ni heri ukae kimya, kwani matusi sio ustaarabu. Hata Achebe alisema; " The fox must first be chased, then the hen should be warned about wandering in the bush".
 

LD nina moja tu la kusema..UNA BUSARA SANA!Mungu akuzidishie.
 
LD nina moja tu la kusema..UNA BUSARA SANA!Mungu akuzidishie.

Ubarikiwe Sweetdada,
Unajua hapa duniani bwana, wakati mwingine, kile unachotamani sicho kinachotokea,
bali lile ambalo hata hukuwahi kufikiria kama utakutana nalo.

Hasa kwenye haya mambo ya mahusiano.
 
Ndg yangu hufai kabisa, kwa upumbavu uliofanya hakuna wakukushauri! Una matatizo ya akili, kwanza nenda kwa wanasaikolojia wakushauri na pia muone dk apime hiyo akili.
 
Now you are talking,ushauri maridadi kabisa! ngoja nikupige na senks nyingine kwa niaba ya Plato....THANKS....BIG UP LD!
 
Plato, Kama upo serious ni PM nikupe ushauri zaidi kwa hapa nikitoa huo ushauri nitaharibiwa siku, halafu nikijibu BAN juu

we mwaga ushauri hapa. Inawezekana wapo wengine wenye hilo janga. Inawezekana kesho yakamkuta mwingine.
 
Hapa wa kuolewa ni mchumba kwa maana taratibu zote zimezingatiwa. Huyu mwenye mimba atakuwa mtazamaji au ukiendeleza uchakachuaji atakuwa nyumba ndogo @your own risk.
 
ya hii thread imenikumbusha kauchungu ka best yangu, yeye tulikuwa kwenye process za ndoa na ndoa ilikuwa ifanyike after Easter, last 3 weeks best yangu akagundua jamaa alikuwaga na mke na amezaa naye watoto 2,1st born yuko 4m 2 na 2nd one yuko 4m 1 na wameachana na mkewe 3yrs ago. ndo wako kwenye hayo malumbano na kila kitu kimesitishwa mpaka wao waweke mambo sawa.

ili kukwepa usumbufu wa baada ni bora uwe mkweli kwao mapema tuu.
 
kila mmoja mwambie kuhusu mwenzake alafu watachagua wenyewe
 

d) imeharibu utashi wako wote!
 




Umekwisha msaliti mchumba wako kwa tamaa tamaa yako,mi naona mweleze ukweli mchumba wako huyo uliye naye kwa miaka mitatu,mwombe msamaha,muoe!Huyo mwingine kubali kugharamia kutunza mimba na mtoto akizaliwa mungu akipenda!Nae mwombe msamaha kwa kumpotezea muda wake!mwambie ukweli kwamba hutamuoa! KUWA NA MSIMAMO KATIKA MAHUSIANO YAKO,yatadumu!
 
love is really complex! unadai unampenda huyo uliyemuita mchumba, lakini nashangaa kama kweli unampenda kwa nini umemsaliti? I dont think is the time to think about ur-self any more, ili uweze kumake right decision think about the life your child will live and about your lovers just be honest to them, then you will be able to decide. To be honest you deserve all the blames, inabidi uombe msamaha + toba na ujirekebishe ili kuepuka laana. pole sana
 
muoe yule uko happy nae.....anayekuridhisha kila kitu,kukufanya usitoke nje! kwa mtazamo wangu hao wawili hawana vigezo vya kukutosheleza ndio maana ukatembea nao wote,cha kufanya wabwage tafuta mwanamke mwenye vigezo vyote unavyovitaka ndio uoe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…