Wenyewe wanajua kama unawapanga kama bamia sokoni?
Unakopa, unajikopa bila kujua. Hivyo v2 wanavyokuhonga hao wadada ipo ck utakuja kuvilipa either direct or indirect! Uwe kakini
Hi everyone.
Mimi ni mgeni humu javini naomba kuchangia hii mada.
Kifupi acha kuwapotezea muda hao kinadada. Wewe si muoaji. ungekuwa muoaji muda mrefu ungekuwa umefanya maamuzi wa yule ambaye ulianza naye. kwanza unasema unawanawake 3 uliwapata kwa pamoja au kwa nyakati tofauti? nimekuona bonge la **** kwa kuchezea feeling za watu. mwanamke akisema anawanaume watatu mnasema mhuni. vip kuhusu wewe tukuiteje ilihali bado mwanafuzi?
huna upendo hata kiduchu kwa hao wadada acha kuwapotezea muda ...........unawapenda vile wanakupa feza......kweli we mwanaume suruali
Ww jifanye kidume unavizuzua vibinti vya watu. Badala ya kuchangamkia masomo unashabikia vitu unavyohongwa. Kibaya zaidi unajinadi kuwa ni mpenda vya kupewa. Kumbuka dunia ya leo imekaa kushoto kulia. Zipo njemba zinakusoma udhaifu wako. Watakurushia laki 5 tu chaaali unaolewa kijana. Tafakari, chukuwa hatua. Zingatia masomo. Acha uzinzi ni nooomaaa...Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.
Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.
Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.
Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.
Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!
Ngoja tu na mimi nikuonye braa...
Hauko peke yako ,ila na wenzako wote wenye tabia kama yako(material man)..!
Wapo wa kike wenye tabia kama zenu ambao wametanguliza mbele vitu,vitu tu,zawadi na pesa.. !!
Sitaki kusema tu SIYO VIZURI ila kwa watoto wa Kiume ni HATARI pia..
Hivi ukizungumzia Simu,pesa ndogo,ndogo na zawadi kutoka kwa wadada...
Unanitia Shaka na Hofu sana..
Hivi ukiwekewa/ukipewa GARI wewe, utausimamia kweli UWANAUME WAKO..???
Sina hakika..
Dont be material..
Be man..
wazinzi huwa hawasemi kuwa wamewapanga. Huyo ni mzinzi kama walivyo wazinzi wengine. Yaaani kijana hana hata kazi wala mshahara anamiliki mademu watatu, imagine siku akimaliza chuo na kupata job yenye mshiko atamiliki wangapi?
ngoja tu na mimi nikuonye braa...
Hauko peke yako ,ila na wenzako wote wenye tabia kama yako(material man)..!
Wapo wa kike wenye tabia kama zenu ambao wametanguliza mbele vitu,vitu tu,zawadi na pesa.. !!
Sitaki kusema tu siyo vizuri ila kwa watoto wa kiume ni hatari pia..
Hivi ukizungumzia simu,pesa ndogo,ndogo na zawadi kutoka kwa wadada...
Unanitia shaka na hofu sana..
Hivi ukiwekewa/ukipewa gari wewe, utausimamia kweli uwanaume wako..???
Sina hakika..
Dont be material..
Be man..