Nimuonavyo Timbulo

best naso sura yake imekaa kikanda ya ziwa sana
 
Timbulo ni msanii mzuri sana, namkubal kwa nyimbo zake.
 

aisee mimi ninampenda balaaa, nyimbo zake awe anacopy au lah! lakini zinaladha jamani, yeye na mavoko dah! sijui kwanini hawahit kivile japo nyimbo zao ni tamu maskioni.
 
Ngojeni siku si nyingi atasema yeye ni team kinyesi ili apate promo kama munavyomshauri
 
hana kipaji anabahatisha tu,msanii kanjanja yule alafu pia hana muonekano wa kisupastaa kakaa kishamba shamba hana swaggz kama watoto wa mjini wanavyosema.namshauri arudi kwenye taaluma yake ya ualimu
 
Best Nasso na Timbulo wapo vizuri Sana,Best Nasso na Mamu wa Dar Jamaa anajua ,Timbulo na wimbo wao huu mpya na Baraka ni hatari.
 
msanii utajiitaje Timbulo[emoji16][emoji16].. Gundu zingine tunajipa wenyewe...
Best nasso walimkubali kusini kipindi cha mamu waDar , nowadays sijajua maana ni mpasipasi kwakwenda mbele[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…