Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekaa sehemu hapa, zinapigwa nyimbo za Timbulo, let's be fair for a while, Timbulo has percuriar way of singing, hafanani na msanii yeyote yule, kuna watu wanamdharau na kumchukulia poa.
Kuna nyimbo za kwanza kweli alikopi lakini ule wimbo aliouimba na Rich Mavoko pamoja na huu naku-miss miss ni mizuri sana, they were supposed to be hit songs, ila kwa bahati mbaya kwa kuwa ni Timbulo hatuwezi kuliona hilo.
Si shabiki wa Timbulo ila hizi nyimbo ni zuri mno kwa mtazamo wangu, na ana staili ya kipekee kabisa.
best naso sura yake imekaa kikanda ya ziwa sana
hana kipaji anabahatisha tu,msanii kanjanja yule alafu pia hana muonekano wa kisupastaa kakaa kishamba shamba hana swaggz kama watoto wa mjini wanavyosema.namshauri arudi kwenye taaluma yake ya ualimuNimekaa sehemu hapa, zinapigwa nyimbo za Timbulo, let's be fair for a while, Timbulo has percuriar way of singing, hafanani na msanii yeyote yule, kuna watu wanamdharau na kumchukulia poa.
Kuna nyimbo za kwanza kweli alikopi lakini ule wimbo aliouimba na Rich Mavoko pamoja na huu naku-miss miss ni mizuri sana, they were supposed to be hit songs, ila kwa bahati mbaya kwa kuwa ni Timbulo hatuwezi kuliona hilo.
Si shabiki wa Timbulo ila hizi nyimbo ni zuri mno kwa mtazamo wangu, na ana staili ya kipekee kabisa.
Timbulo has got no star look and qualities.