Unaenda hospitali yeyote kuubwa
unamuona dokta wa kawaida halafu unamuomba aku refer kwa specialist
Dar es salaam
Habari wana JF wenzangu,
Mie Nina tatizo nahisi maana napata maumivu upande Wa kulia chini ya mbavu usawa Wa kitovu (Julia tu lakn) hata nikienda gym au kuogelea huwa napata kichomi kwa haraka upande huu wa kulia . Je ni tatizo la ini ama figo?
Kwa anaefahamu daktari mzuri am a Hosp anisaidie tafadhali
muone dkt manyaunyau
Nenda pale Buguruni Anglican Health centre iko malapa near St John University, pale wana madaktari wazuri sana, pale huwa natibiwa sana pale, wako vizuri wako KUHUDUMA na sio KIBIASHARA, kuna Dr mmoja pale ni mzuri sana, ni kijana mdogo ana almost 30yr yuko vizuri sanaaa anaitwa Dr Isack, try to visit them
Hiyo ni Appendicitis, you need Appendectomy kabla haija burst ikawa peritonitis ukafamyiwa laparotomy .... ni-pm.
Hiyo ni Appendicitis, you need Appendectomy kabla haija burst ikawa peritonitis ukafamyiwa laparotomy .... ni-pm.