Nimuone Doctor gani mzuri? Kitengo gani kinaitwa?

Neelam35

Member
Joined
Dec 27, 2014
Posts
44
Reaction score
19
Habari wana JF wenzangu,

Mie Nina tatizo nahisi maana napata maumivu upande Wa kulia chini ya mbavu usawa Wa kitovu (Julia tu lakn) hata nikienda gym au kuogelea huwa napata kichomi kwa haraka upande huu wa kulia . Je ni tatizo la ini ama figo?

Kwa anaefahamu daktari mzuri am a Hosp anisaidie tafadhali
 
Unaenda hospitali yeyote kuubwa
unamuona dokta wa kawaida halafu unamuomba aku refer kwa specialist
 
Wahi haraka katika hosp ya wilaya/mkoa wako wataalamu wapo huko wengi tu.. kaeleze kila kitu kwa uwazi..Utapona mkuu.
 
Mkuu kumbe upo Dar.. mbona hosp nyingi sana hapo... tena hata usianzie MNH anza hosp za wilaya
 
Pole,kwanza kafanye uchunguzi hospitali upate uhakika wa tatizo!
 
Nahisi ni appendix hiyo, ultra sound inaweza kubainisha tatizo.
 
Habari wana JF wenzangu,
Mie Nina tatizo nahisi maana napata maumivu upande Wa kulia chini ya mbavu usawa Wa kitovu (Julia tu lakn) hata nikienda gym au kuogelea huwa napata kichomi kwa haraka upande huu wa kulia . Je ni tatizo la ini ama figo?
Kwa anaefahamu daktari mzuri am a Hosp anisaidie tafadhali

muone dkt manyaunyau
 
Nenda pale Buguruni Anglican Health centre iko malapa near St John University, pale wana madaktari wazuri sana, pale huwa natibiwa sana pale, wako vizuri wako KUHUDUMA na sio KIBIASHARA, kuna Dr mmoja pale ni mzuri sana, ni kijana mdogo ana almost 30yr yuko vizuri sanaaa anaitwa Dr Isack, try to visit them
 
Ahsante mkuu. Be blessed
 
Hiyo ni Appendicitis, you need Appendectomy kabla haija burst ikawa peritonitis ukafamyiwa laparotomy .... ni-pm.
 
Mkuu, physical examination na ddx ni muhimu sana hapo japo kwa haraka diagnosis inaeza kua ni appendicitis
 
Back
Top Bottom