Nimwache akapange au niondoke mimi?

Kwanza pole.
Pili ni kwamba kama mwanaume umekuwa mpole mno kwa huyo mtu na hatimae epoteza sauti na kwa kumalizia huyo mtume aende kwao akienda wewe huku hama sehemu mliyopanga na mtwange talaka juu kwa juu.Mtoto atalelewa hata na bibi
Kagoma kwenda kwao anasema hawezi kurudi kwao wala kuishi kwa ndugu yake yoyote ataishi maish yake tu
 
Watu huwa tunavumilia kubeba mzigo wa viazi milimani ukijua utakula chipsi jioni.
Hapo mkuu unavumilia hasara tu.
Huna mke hapo.
Piga chini lea mtoto.

Huwa nawashangaa wanaume wanaovumilia shida kisa mtoto.
Ambaye anaweza asiwe wako.
Ni ujinga tu
 
Yaani nimesoma huku nikipandisha hasira...huwezi kuwa mzembe kiasi hicho...huyo hukupaswa kuwa naye hata kidogo...usichukulie kigezo cha mtoto kuishi kwenye moto!mwache aende...akitaka abebe na mtoto aende naye na wala usijishughurishe naye yeye na mtoto!mwache alee mwenyewe..kwani unadhani watoto wote wanalelewa na wazazi wote wawili!aiss nimekasirika sana ujue bora hata usingeleta huu uzi hapa!
 
sasa kama amekubali kuishi maisha yake mbona simple sana, mwache aende hilo ni jipu litakupasukia siku si nyingi.
Kuondoka anasema mpaka mwakani, mimi nimechoka sana na nikimwona najawa na hasira sana kiasi kwamba huwa naondoka tu home na kwenda matembezi yangu sometimes naenda kulewa. I am so stressed kiasi kwamba sitaki ugomvi kabisa
 
Kuondoka anasema mpaka mwakani, mimi nimechoka sana na nikimwona najawa na hasira sana kiasi kwamba huwa naondoka tu home na kwenda matembezi yangu sometimes naenda kulewa. I am so stressed kiasi kwamba sitaki ugomvi kabisa
kama unaweza ondoka ukaanze life upya au beba baadhi ya vitu umuachie vichache.
 
Maudhi ufanyiwe wewe kukasirika nakasirika mimi.

Huo muda mi sina kabisaaa

Nina huruma sana lkn hasira zangu nazijua mwenyewe mtu akinifanyia upuuzi kama huu.
 
Duh wanasema ukitaka kujua kama kuna watu wanaumwa kuliko wewe basi tembelea hospital. Pole Sana nilidhani me yangu nimakubwa sana kumbe kuna wenzangu wanamakubwa zaidi yangu nilighairi kwenda kujitambulisha mwezi huu kwasababu ndogondogo sana ila acha tu nijipange niende maana yako nimakubwa Sanaa yaani yangu hayaingiii kwako hata robo. Narudia tena pole sanaaa
 
Baba yake ni Mjita na mama yake ni Muhaya, lakini wazazi wake walishatengana hawako pamoja
Si wote ila mara nyingi watoto wa nje ya ndoa huwa hawajali kuzaa nje au kuachana na mtu inakuwaga ivyo ila usimtake mtoto mwache atakulete mwenyewe baada ya kuona tayari mmeachana na humfatilii na nakushauri sana tena sana toa matumizi ya mtoto na yasizidi 100k kwa mwezi akimaliza pesa mwambie huna ukimuendekeza atakusumbua kisa matumizi ya mtoto simamia maamuzi yako ni ayo2
 
Dah !
kwanza mimi nakuona wewe ni mwanaume wa ajabu sana,yaani pamoja vituko vyote hivyo bado unaye mpaka leo ?! Alafu ni girl friend tu siyi mke ?!
kuzaa siyo shida kwani hata paka,panya nk wanazaa pia.
Hongera bwana kwa kuwa na subira ya kiasi hicho,
 
Mademu km hayo sjui mnayaleaga ya nn asee,, mtoa mada una mchango ktk kumfanya huyo dem awe kiburi,,ushawahi kumtia hata kofi 1 tuu kweli??
Mkuu nilishawahi mpiga kipindi ambacho sikujua ana mimba changa ikapelekea mimba kutaka kutoka sijamgusa tena mpaka leo
 
kama unaweza ondoka ukaanze life upya au beba baadhi ya vitu umuachie vichache.
Ninampango wa kuondoka nimwachie kila kitu maana uwezo wa kununua vingine upo so vitu kwangu siyo shida, labda nguo zangu tu na vifaa vyangu vya kazi
 
Asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…