Nimwache akapange au niondoke mimi?

Hahahahaha nacheka kwa dharaaaaaau.
 
So aliondoka au uliondoka na kumwachia kila kitu?
Mm nilimfanyia busara tu nilimuachia kitanda na godoro na kumpa 200k nikamwambia tu kuanzia mwezi ujao utakuwa unapata matumizi ya mtoto 50k saivi tunaeshimiana vizuri na ninamtu mwingine maisha yanakwenda
 
Kuondoka anasema mpaka mwakani, mimi nimechoka sana na nikimwona najawa na hasira sana kiasi kwamba huwa naondoka tu home na kwenda matembezi yangu sometimes naenda kulewa. I am so stressed kiasi kwamba sitaki ugomvi kabisa
unaona sasa!umeamua hadi kuwa mlevi!achana na huyo kima...kama anataka kuondoka mwakani...ondoka wewe!mtu alishindwa kuishi na dada yake akisingizia ananyanyaswa kumbe yeye ndo alikuwa na tabia chafu...mwachie nyumba usepe!ngoja ngoja atakupiga dafulau hutakuja kusahau!
 
Samaki mkunje angali mbichi, nimesoma huu uzi niakagundua matatizo mengi sana yanayotokea kwenye ndoa/mahusiano chanzo ni sisi wanaume na ujinga wa kujiendekeza, mimi najali na kumpenda mtu sana tena hata pasipo jali napoteza ila mtu akianza kutojali hisia zangu au kunijali mimi huwa napotezea hata kama nampenda kiasi gani mimi huwa napotezea, sasa mkuu wangu umelibeba tatizo kwa muda mrefu unaenda nalo tu, sasa ana mtoto wako swala ambalo linakupa wakati mgumu kuwaza ufanyaje.. Mimi nilikataa kuendeshwa na mwanamke hata kama nampenda kufa kuna mipaka sitaruhusu avuke
 
Sina hata chakukushauri maana story tu lakini nimeshachukia sana, una moyo mkuu pambana tu, inaonekana kuna kitu nyuma ya pazia hebu mchunguze nn kinamfanya hivyo ni kweli yupo na akili zake timamu au ashachanganyikiwa,tafuta namna yakumnyanganya mtoto wako pia maana hata usalama wako ni tatizo
 
Kwa story hii mkuu... Hilo gari paki, vuta hand break tulia....! Akishuka endelea na safanri..., Amekuhangaisha mpaka umeshindwa kutumia ile akili tulioambiwa tuishi nao hawa wenzetu... Pole sana mkuu!
 
Mkuu umenikera sana kwakweli[emoji48]
[emoji53],, unawezaje kuvumilia ushenzi wote huo kwa muda wote huo na bado unampa na Hela...Kaka usituaibishe wanaume...Tafadhali unapomaliza kusoma hii comment nenda kamlambe makofi mawili ya haja umfukuze mbali sana...mtoto atamlea kupitia ustawi wa jamii...matumizi 50k/month
 
kuna kitu anajiamini huyo si bure.
 
Ninampango wa kuondoka nimwachie kila kitu maana uwezo wa kununua vingine upo so vitu kwangu siyo shida, labda nguo zangu tu na vifaa vyangu vya kazi
Tuseme unamwachia nyumba ambayo kwa mwezi kodi ni laki n nusu au laki mbili siku akija kukosa kodi nani atalipa kama si ww au atakuja kukurubuni kuwa kabadilika akakupa na mauno kama yote ukaamini kabadilika kumbe maisha yamemshinda mm nakwambia mwache aende mpe pesa kidogo na vitu vya ndani mgawane usimuonee huruma brooo ivi ushawai jiuliza watoto wanaokaa vijijini bila baba zao tena wamefariki si ww ambaye unatuma pesa unajua wanaishije acha huruma za kijingaa nakwambia mpe fundisho ambalo atajutia maisha yake yote mwache akapange nyumba ya uwezo wake
 
Kama mtoto anaumri mzuri wa kulelewa na bibi yake yaani mama yako basi ni kheir ukaachana nae, beba mwanao peleka kwa bibiake na mwaache akazurure njiani. Ila nafkir ulishaonesha udhaifu mkubwa awali ndio maana ana kuringishia sana.
 
Asante brother
 
Mtoto ana miaka miwili na miezi sita
 
na una uhakika hajakuloga huyu?siamini km duniani kuna wanaume km ww,ndugu yangu, ww ndo unajua maana ya kupenda khaaaaa
 
Nina uhakila kabisa 100% hunywi bia, Ungekuwa unakunywa ungeliona hili mapema,.na hata muda huu ungekuwa umeshapata jibu Mapema..
Mm ushaur wangu, hebu anza kunywa bia, Halimashauri yako ya kichwa itakushaur nini ufanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…