Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Kama hujawahi kubet, siasa itakusunbua sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nafikiri ungetumia maneno yasiyokuwa na utata. Maneno hayo ya kuosha, dodoki, kutakata ni yamekaa kipravite affairs sana hususan kama wewe ni mwanaume. Mwanaume kumwosha mwanaume mwenzako duh. Anyway Gambo anashinda asubuhi sana ArushaUteuzi wa Mrisho Gambo Jimbo la Arusha umepokewa kwa mitazamo Tofauti ukizingatia kwamba siku Rais John Mgufuli akimtumbua ukuu wa Mkoa huo watu wengi walifurahia na kuonekana wakimwaga pombe bar kwa Furaha.
Baadhi walisema kuwa Arusha bila Gambo ,Lema ataendelea kuongoza jimbo la Arusha Mjini.
Hata hivyo kinyume na matarajio ya wengi mji wa Arusha umeonekana kutokuwa na furaha kwa baadhi ya wananchi kuonyesha kutofurahia uteuzi huo na wengi wakihoji kwamba Gambo aliyetumbuliwa na Rais Magufuli kwa kashfa atawezaje kung'ara kwa wananchi?