Nina 10M nahitaji kufuga Samaki naombeni ushauri

Siku hizi kuna mabwawa mengi sana ya kitaalamu ,ata ukitaka ya kuhamishika,hiyo ela kama unacho chanzo cha maji,mwisho kabisa ukimaliza hatua zote ukiitaji Vifaranga vya Kambale na sato ,nakuletea mpaka mlangoni
 
Mkuu nashukuru sana kwa maelezo unayonipa. Eneo lipo Kigamboni kisarawe II. Kusema ukweli nataka kuifanya issue kitaalam kidogo.

Nashukuru kwa kunambia kuwa kila kata kuna bwana samaki embu ngoja nifuatilie.
kila la kheri... kitaalam sio mzoefu.. ilikuwa mwaka 2000 kipindi hicho hizo cage system natumia.. mianzi hawa wanaofuga sasa watakueleza utalaam wa sasa.
 
Siku hizi kuna mabwawa mengi sana ya kitaalamu ,ata ukitaka ya kuhamishika,hiyo ela kama unacho chanzo cha maji,mwisho kabisa ukimaliza hatua zote ukiitaji Vifaranga vya Kambale na sato ,nakuletea mpaka mlangoni
Kaka yaelekea mwenzangu uko kwenye area hii...., je naweza kuja kujifunza?...., au unaweza nashauri niende wapi niweze kuona na kujifunza kaka ili nami nikianza basi mradi wangu uwe na makosa machache.
 
mkuu msaada. Kwanini Salmon hawapo indian ocean? Yani huyu samaki ni lulu
Yaah wanapatikana baharini lakini wanafanya vizuri kwenye temperate climate na maji yanayoflow kila muda.

Ocean ni kubwa hivyo chakula,space ni vya kutosha ukilinganisha na hawa confined.
 
Kaka yaelekea mwenzangu uko kwenye area hii...., je naweza kuja kujifunza?...., au unaweza nashauri niende wapi niweze kuona na kujifunza kaka ili nami nikianza basi mradi wangu uwe na makosa machache.
Karibu ujifunze Mkuu,tembelea wafugaji wengi uwezavyo utajifunza mno ,njoo pm niambie ulipo na nikushauri uanzie kwa Mfugaji yupo karibu yako
 
Kwa kuwa wewe ni Tumbili basi fanya hivi, chimba hiko kisima then tia maji...ukishamaliza kila kitu nipe hizo pesa ili nijuwe namna gani nitakusaidia.
 
ukubwa wa bwawa uendane na wing wa samaki, kuna ku calculate ratio kbsa wataalam wanajua, la sivyo ukawa na bwawa kubwa samaki wachache umejila, mating haitafanyika vzr yaan mpaka wakutane ili kugegedana hatimaye wazaliane labda wakodi boti, bro ailishafuga alifanikiwa sana mvua ndo ikamharibia ilinyesha bwawa likajaa yan wakat bwawa linafurika tupo hv tunaangalia samak wakubwa ka nin wakimwagwa nje, tulitaman mto wote tuuelekeze nyumbn, ikala kwake kadirio la 28M, wachawi walikula samaki mwez, shenz zao, no wonder ile mvua ilitengenezwa. mvua gan imenyesha mtaa mmoja tu, hakikisha unaweka chakula cha kutosha la utawapigsha ndefu na wewe mwenyewe usipojipanga utbnza kula chakula cha samaki, kuna mwenzako huku alikula chakula cha kuku wake
 
Yani 5m uchimbe bwawa tena kigamboni? Kweli watu mna hela aisee
 
Suma JKT wana mradi ulio bora kabisa wa kufuga Samaki kwenye matenki ya maji. Gharama zao ni milioni 3 kwa complete system. Kufuga samaki kwenye mabwawa ni kizamani na risk ni kubwa sana ukilinganisha na ufugaji wa kitaalam kwa kutumia matenki ya maji. Mimi nafuga kwa aina hiyo na naona faida yake.
Nakushauri uwasiliane na Suma JKT pale RUVU uweze kujionea na kupata ushauri zaidi.
Kila la kheri mkuu.
 
Pole sana mkuu, nadhani kwenye suhala la kuwashibiti wachawi nitawasiliana na bwana Mshana hapa....., hahahaaa, joking
 
DrLove69 you make my day bro......, hii ndio faida ya kuomba msaada umu na kakutana na watu manguli na walio serious.

Mkuu kama una contact ya Suma JKT Ruvu naomba mkuu ili niwasiliane nao mapema na wanipangie siku nikawatembelee. With 3M I can start with two tanks as a pilot project.... , uku nikihifadhi 9M yangu kama back up.

Nadhani kwenye matenki ni good idea kaka....., sio siri issue ya kuchimba mabwawa na kuanza kuangalia aina ya udongo ilikuwa inanipa sana headache...., kwani kwa uelewa wangu mdogo biashara nyingi kwenye nchi zetu masikini hizi huwa zinakufa kutokana na poor management. Sasa kitu kikishakuwa complex kidogo na uvivu wetu huu huwa kinakufa.

Kaka kama una contact zao naziomba hapa, au kama hauna naomba unielekeze vizuri ili niweze kuwazukia mimi mwenyewe nakaonane nao face to face.
 
Hiyo yote haijalishi issue ni kufuata vigezo na mashariti iwe ni bwawa la kawaida,Tanks,Cage faida unapata tu.

Haiji akilini unataka kufanya aqua-ponics na hata hela ya kununua water pump huna.
 
Unaifahamu gharama ya cages mkuu
 
Mkuu nashukuru sana kwa maelezo unayonipa. Eneo lipo Kigamboni kisarawe II. Kusema ukweli nataka kuifanya issue kitaalam kidogo.

Nashukuru kwa kunambia kuwa kila kata kuna bwana samaki embu ngoja nifuatilie.
0752902084 mtafute huyu bwana mdogo atakusaidia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…