ukubwa wa bwawa uendane na wing wa samaki, kuna ku calculate ratio kbsa wataalam wanajua, la sivyo ukawa na bwawa kubwa samaki wachache umejila, mating haitafanyika vzr yaan mpaka wakutane ili kugegedana hatimaye wazaliane labda wakodi boti, bro ailishafuga alifanikiwa sana mvua ndo ikamharibia ilinyesha bwawa likajaa yan wakat bwawa linafurika tupo hv tunaangalia samak wakubwa ka nin wakimwagwa nje, tulitaman mto wote tuuelekeze nyumbn, ikala kwake kadirio la 28M, wachawi walikula samaki mwez, shenz zao, no wonder ile mvua ilitengenezwa. mvua gan imenyesha mtaa mmoja tu, hakikisha unaweka chakula cha kutosha la utawapigsha ndefu na wewe mwenyewe usipojipanga utbnza kula chakula cha samaki, kuna mwenzako huku alikula chakula cha kuku wake