Nina 10M nahitaji kufuga Samaki naombeni ushauri

Ndio umeandika nini sasa hapa!? Katika ulimwengu wa leo bado unaamini ukubwa wa eneo ndio ukubwa wa output ya mazao!? Hakika huna unalojua.
Pathetic!
Sasa unaweza linganisha hilo tank la 100sqm na 500sqm na wote labda umestock monosex Tilapia.

Mimi namshauri jamaa kwama ukubwa wa bwawa unamata kama atataka fanya kibiashara na sio ufugaji wa kitalii.

Issue ya output sijui outcome lazima twende na management+technology.
 
Samaki gani huvunwa ndani ya miezi mitatu? tuache utaalam ufanye kazi.
Kinyume na hapo watu mtaibiwa sana.
 
Karibu sana ndugu.
Nimekutumia contacts zao. Natumaini utapata muafaka na kuleta mrejesho hapa.
NB: Matenki yanakuwa matano (1000 ltrs) per system na sio moja.
Nakutakia kila la kheri mkuu.
Kaka asante sana, nashukuru sana mkuu...., ngoja nitafanya mawasiliano nao kisha nitakuja na mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…