Sasa unaweza linganisha hilo tank la 100sqm na 500sqm na wote labda umestock monosex Tilapia.Ndio umeandika nini sasa hapa!? Katika ulimwengu wa leo bado unaamini ukubwa wa eneo ndio ukubwa wa output ya mazao!? Hakika huna unalojua.
Pathetic!
Mimi namshauri jamaa kwama ukubwa wa bwawa unamata kama atataka fanya kibiashara na sio ufugaji wa kitalii.
Issue ya output sijui outcome lazima twende na management+technology.