Plot4Sale Nina 180,000,000. Natafuta kiwanja kilichopimwa (Surveyed plot) jijini Dar

Plot4Sale Nina 180,000,000. Natafuta kiwanja kilichopimwa (Surveyed plot) jijini Dar

Nina viwanja nmepima kigamboni. Ni beach plots kama upo interested nichek na plots zote zipo approved
dbdc1c7e-7296-4051-829f-1e7f8d070c08.jpg

8334c324-e0ea-4d13-b62f-af387e98c892.jpg

3f923b95-dbee-47e8-960b-3a26727207b5.jpg
0465e97e-1612-46dc-9a1e-dab2d6d5d397.jpg
 

Attachments

  • 22b3b56c-9f1e-4f04-ae61-97809b9051ae.jpg
    22b3b56c-9f1e-4f04-ae61-97809b9051ae.jpg
    59.3 KB · Views: 54
  • e66296d9-e51b-4d47-9303-257ee4964555.jpg
    e66296d9-e51b-4d47-9303-257ee4964555.jpg
    75.2 KB · Views: 54
  • 6f8f319e-5985-4dfe-9e5f-f380018fd874.jpg
    6f8f319e-5985-4dfe-9e5f-f380018fd874.jpg
    45.6 KB · Views: 50
Kunajama. Huwa anasema Bab ake nauza nyumba maeneo ya sinza humu ndani
 
Wakuu,

Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi nirudi kujipinda nitafute pesa zaidi ili nipate kiwanja ninachotaka hasa. Kwa sasa bajeti yangu ni TSH. 180,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 200,000,000 nikipata kiwanja kizuri, eneo zuri.

Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Mbweni, Ununio au hata kwingine lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa.

Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali niunganishe. Nimekutana na madalali, sometimes wanakuchosha kwa kukupitisha maeneo mengi wakati mtu ratiba yako iko so limited.

Asante
Kuna kiwanja kizuri,mwenyewe anauza milioni SITINI (60), kipo maeneo karibu na kunduchi,pana banda la vyumba viwili na sebule,

Mbona ujaweka mawasiliano yako
 
Mkuu Kama uko serious Kuna kiwanja kina Nyumba ya kawaida , Eneo Ni Kijitonyama. Sehemu imepangika sio uswahilini.

Kama uko tayari njoo nikupeleke. Na Bei haifikii hiyo ya kwako.

Kama uko tayari karibu.
Mkuu, naweza kujua plot size tafadhali? Hata pembeni (DM)
 
Back
Top Bottom