Plot4Sale Nina 180,000,000. Natafuta kiwanja kilichopimwa (Surveyed plot) jijini Dar

Wakuu,

Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi nirudi kujipinda nitafute pesa zaidi ili nipate kiwanja ninachotaka hasa. Kwa sasa bajeti yangu ni TSH. 180,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 200,000,000 nikipata kiwanja kizuri, eneo zuri.

Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Mbweni, Ununio au hata kwingine lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa.

Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali niunganishe. Nimekutana na madalali, sometimes wanakuchosha kwa kukupitisha maeneo mengi wakati mtu ratiba yako iko so limited.

Asante
Kuna kiwanja goba ukihitaji
Bei poa tuu
 
Ukitafuta kwa tanga mjini nitafute viwanja vikubwa hata kwa uwekezaji na jumba
 
Njoo nikuuzie kiwanja Kinyerezi Mwisho Stend Mpya Kwa Pesa Yako Hiyo Ukubwa Ni SQM 2665 Kina Nyumba 2 Kubwa Na Ndogo Kwa Maelezo Zaid Nicheki Kwa Namba Hii 0692177791;
 
Back
Top Bottom