Nina 1m nahitaji sim kati ya iPhone au Samsung

Nina 1m nahitaji sim kati ya iPhone au Samsung

91083d01f1210947e31880bb4dae5183.jpg
 
Hawa jamaa wanatuimgiza chaka kumbe simu hai exist?

Kuna Samsung Galaxy S22 Ultra, hii ipo yani inaexist
Ila jamaa hapo juu kasema Samsung Galaxy Note 22 Ultra ambayo hai-exist duniani
 
Chukua tu iPhone, hio samsung ya 1M maintenance fee unafikiri itakua ni shilingi ngapi?

Yaani ukiidndsha chini stress zake sii za kitoto
 
Back
Top Bottom