Nina 1m nahitaji sim kati ya iPhone au Samsung

Hivi mpk unanunua simu ya 1m unatafuta nini,space kubwa,Ram kubwa,Camera kali,speed ya simu au battery kubwa?nifahamisheni hasa,maana kuna simu zinaitwa Google pixel nasikia camera yake ni kali sana,ila bado naona watu wanataja Xiaomi,Tecno,Samsung n.k .au kuna watu wanapenda umbo la simu na hayo mengine hawajali sana...
 
Mshauri sasa anunue Google Pixel
Ila ajiandae kwenye chaji maana tofauti na Google Pixel 5A, hizi nyingine utunzaji wake wa chaji ni ovyo kabisa
Ila sehemu nyingine Google Pixel ni simu NZURI sana. Ukiagiza AliExpress bei zinaridhisha kupita kiasi. Hapa Bongo Google Pixel mpya zipo overpriced
 
Back
Top Bottom