Nina 1m nahitaji sim kati ya iPhone au Samsung

Sumsung na iPhone wamefeli kwenye suala la betri tu yaani chaja Kama laptop tu.
Mchina anauzia betri 5000 si mchezo masaa 12 none stop unatoboa
Samsung na iPhone ndio Wana flagship zinazotunza chaji zaidi, Siku hizi iPhone zinatunza chaji kama Infinix tu

Pia angalia Samsung Galaxy M51 ina 7000mAh na inakaa na chaji kuliko maelezo, Sikuhizi Samsung nyingi hususani A series zinatunza chaji. Samsung Galaxy S23 Ultra inatunza chaji sana. S21 Ultra na S22 Ultra zilifeli kwenye utunzaji chaji ila hii S23 Ultra ni kiboko

iPhone kwenye chaji sasahivi naye hakamatiki

Sio sahihi kusema Samsung na iPhone hazitunzi chaji
 
Kuanzia iphone ngap?mkuu zinatunza chaji ,Mkuu naomba kuuliza kitu kingine utajuaje iPhone original ukiachana na IMEI Na Serial number?
 
Back
Top Bottom