Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Unajua bhna issue iko hivi wewe kufanya makutano na office ya hizo kampuni ujue kama biashara utaweza au huwezi anzia kutembelea website zao wasiliana nao ujue unawafuata vipi .... mengine ya kiasi na faida utajua inakuaje, naamini unaweza kuwa wakala wakampuni hata mbili lakini Anza na moja mfano ya rangi au ya cement Ni wewe tu,
Vizuri,nimekusoma
 
Kama Mimi ningenunua IST kama 5 hivi natafuta Madereva then nawapa deal

Zinarudisha 170,000-200,000 kwa Wiki moja so Gari zikiwa used from Japan nina Uhakika matengenezo yanakuaga si sanaa kwa kipindi cha Miaka 2

170,000 * 5 = 850,000
200,000*5 = 1,000,000
850,000 *52= 44,200,000
1,000,000*52= 52,000,000

So itachukua Mwaka 1 kuweza kurudisha pesa yako then unaanza kula Faida baada ya mwaka 1

NB kwa Dar es Salaam risk ya gari kupiga mzinga ni ndogo sana kutokana na Magari jiji kuwa na Gari nyingi
N kazi nzur mkuu ila kwa mimi uwa nna amini nyumba kuliko ngari,
 
Ningekua wewe

1. Ningewekeza kwenye FOREX TRADING.

2. ningewekeza kwenye real estate (hasa nyumba za biashara) na viwanja.

3. Ningefungua kampuni ya ujenzi ya kisasa (hii ingeenda sambaba na namba 2 hapo juu)!

NB: Faida ya kila kota robo tatu ninge reinvest na robo ningeirudisha kwenye jamii kwa njia ya ujenzi wa madarasa na vituo vya afya!!

Hayo ni mawazo yangu.
2,3 Kwa hizi 50m?
 
Naona Ostaz Swaumu imemtaiti anaota mchana. Wazanzibari walivyo wabaguzi hayo magari watayatia moto mapema asubuhi
Kwl cjawa namtaj wa kuwekeza kweny magari,na hata kama nikiwa nao huwa nafkria nyumba badala ya ngar
 
pressure ileeeeeeeeeeee
Kama Mimi ningenunua IST kama 5 hivi natafuta Madereva then nawapa deal

Zinarudisha 170,000-200,000 kwa Wiki moja so Gari zikiwa used from Japan nina Uhakika matengenezo yanakuaga si sanaa kwa kipindi cha Miaka 2

170,000 * 5 = 850,000
200,000*5 = 1,000,000
850,000 *52= 44,200,000
1,000,000*52= 52,000,000

So itachukua Mwaka 1 kuweza kurudisha pesa yako then unaanza kula Faida baada ya mwaka 1

NB kwa Dar es Salaam risk ya gari kupiga mzinga ni ndogo sana kutokana na Magari jiji kuwa na Gari nyingi
 
Nyumba mzee utajenga ngapi kama Hapa DSM utafukia Pesa nyingi sana na Itachelewa kukulipa I know na probably kwa nyumba ya Biashara hiyo 50M inaweza kuwa ndogo
Ndomana ctqtaka kuanza biashara ya nyumba au gari mkuu,ukiangalia mambo hayo yanaitaj pesa ya kutosha ili iendlee kuwa hai
 
Nyumba mzee utajenga ngapi kama Hapa DSM utafukia Pesa nyingi sana na Itachelewa kukulipa I know na probably kwa nyumba ya Biashara hiyo 50M inaweza kuwa ndogo
Hardware nakubali japo inabid ukae mwenyewe au wife. Vinginevyo mfanyakazi wako atakua anauza Mali zake bila wewe kujua
 
Kwa hiyo pesa biashara ni nyingi sana mkuu. Labda tu ugumu wa biashara yoyote ni kuianza. Lakini ukishaingia unaiona kabisa utamu wa biashara. Uko mkoa gani nikuambie biashara itakayokulipa
 
Back
Top Bottom