Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Vizuri,nimekusoma
 
N kazi nzur mkuu ila kwa mimi uwa nna amini nyumba kuliko ngari,
 
2,3 Kwa hizi 50m?
 
Naona Ostaz Swaumu imemtaiti anaota mchana. Wazanzibari walivyo wabaguzi hayo magari watayatia moto mapema asubuhi
Kwl cjawa namtaj wa kuwekeza kweny magari,na hata kama nikiwa nao huwa nafkria nyumba badala ya ngar
 
pressure ileeeeeeeeeeee
 
Nyumba mzee utajenga ngapi kama Hapa DSM utafukia Pesa nyingi sana na Itachelewa kukulipa I know na probably kwa nyumba ya Biashara hiyo 50M inaweza kuwa ndogo
Ndomana ctqtaka kuanza biashara ya nyumba au gari mkuu,ukiangalia mambo hayo yanaitaj pesa ya kutosha ili iendlee kuwa hai
 
Nyumba mzee utajenga ngapi kama Hapa DSM utafukia Pesa nyingi sana na Itachelewa kukulipa I know na probably kwa nyumba ya Biashara hiyo 50M inaweza kuwa ndogo
Hardware nakubali japo inabid ukae mwenyewe au wife. Vinginevyo mfanyakazi wako atakua anauza Mali zake bila wewe kujua
 
Kwa hiyo pesa biashara ni nyingi sana mkuu. Labda tu ugumu wa biashara yoyote ni kuianza. Lakini ukishaingia unaiona kabisa utamu wa biashara. Uko mkoa gani nikuambie biashara itakayokulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…