miss personal cook
Member
- Apr 4, 2019
- 81
- 90
kopesha kwa wajasiriamali wakulipe riba ,,,ila kuwa makini usije kuwa unagawa tu
Ni kweli kabisa biashara yenye risks ndio huwa na faida kubwa lakini pia ni pata potea.Biashara yenye risk kubwa ndlo inakutoa vyema...itakulipa hata mara 5
Hapo pakavu labda aende ingine na sigara tcc siitakuwa 200milTBL si chini ya 100m kuwa wakala, na warehouse ya kutosha.
Labda biashara za raw material Ku export, yaani makert is tabu, hata kama siyo Ku export Ila soko la biashara yako iwe viwanda kama raw material. But biashara kama za electronics, hardware, frem za biashara, real estimates hazifanyi vizuri. Nafkrii baada ya 2025 ataingia kiongozi wa sambli za mzee mwinyi, hapa pesa zitazagaa na ndiyo biashara hizo zitalipaKwa maana hiyo, kwa kipindi hiki kigumu ni biashara zinazotegemea mzunguko upi ndio zinaweza zikamtoa mtu kimasomaso?
Hata Mimi nimemweleza kitu hicho. Watu wengi wanashauri kana kwamba tatizo la success ni mtaji pekeeWakati mwingi ujasiriamali sio mtaji tu, mentality ndio kila kitu kwenye ujasiriamali
Waliookota mitaji wengi wamefeli /wanafeli km wastaafu &likes.
Kwa Uzi wako huu inaonekana wewe ni mgeni wa biashara
Simaanishi usiingie
Bali
Kuwa makini sana
Ushauri wangu
- Fanya biashara ambayo unauzoefu nayo kwa namna moja au nyingine
Lkn
Pia angalia biashara ambayo kwako wateja haitakuwa tabu kupata
- nashauri unavyoanisha biashara ANZA NA MTAJI WA 5M ili uweze test biashara yenyewe. Ni muhimu kujaribi na kujifunza ili ujue inakwendaje na kanuni zake
Kisha
Ukisha jiridhisha basi ongeza mtaji
Ila
Ikigoma na ukijaribu njia zote na ikagoma
Basi
Hamia
Biashara nyingine, ila komaa na ya kwanza mpaka ifanikiwe kwa mtaji wa 5M then expand
Kama
Ukipenda kuunganisha biashara yako iwe online
Basi
Karibu tufanya kazi nasi
Pitia Uzi huu una BUSINESS IDEAS ZAIDI YA 50 AMBAZO NI MAKINI SANA
Aina 50 ya online Bussness platforms unazoweza kuanzisha TZ na uka-dominate Soko - JamiiForums
[Updated 17 May] Tunajua kuwa INTERNET kwa SASA ni kitu muhimu sana ambacho kinakupa nguvu ya USHINDANI ktk biashara. Mitandao kama Uber, Tala, Mpesa, Zidisha, Makazi, Jumia, Brightermonday... imeleta mapinduzi ktk sekta zake na watu wamekuwa wakiitumia zaidi na zaidi na wana-make revenue nzuri...www.jamiiforums.com
+255-657-685-268
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wacha wee..fursa juu ya fursa..hamkosekanigi
Bongo nyoso sana😜[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umeona anavyomvuta eeh.
Anajifanya Kama anamuonea huruma vile.
Hii idea Ni nzuri sana na anunue eneo lenye property rights vibali vyote.
Hapana mkuu cjawa na pesa ya kufanya hvyo,natakiwa nifanye kiti ambacho kitanipa ukuta mzuri,kias nkrud nyuma nakuwa na sehemu ya kukwamia na sio kurud nyuma mazimakopesha kwa wajasiriamali wakulipe riba ,,,ila kuwa makini usije kuwa unagawa tu
Wazo nzur la hiace ila saiv coaster ndo zipo bara bara sana,huo ushaur wako wa hiace umeniingia akiliHabar Mkaka
Kama ni mm ndio mwenye hiyo Capital
"50 million"
Napenda kukushaur ufanye hivii..
A) Tumia sh 30million
Hiyo ni pamoja na kununua Kiwanja(5,000,000) halafu ukajenga lodge ya vyumba 10 Self yenye thaman ya
sh 25Million.
B) Tumia sh 20milion
Nunua Toyota Hiace Used kwa Mtu ambayo ipo Order kwa sh 18,000 ila b4 hujanunua inabidi uende kuikagua ukiwa na fundi unayemuamin.
Hizo sh 2milion punguza kidogo kwa kulipia Comprehensive Insuarance hio hiace then per day unapata sh 50,000.
Aidha; Baada ya Lodge kukamilika utakuwa unapiga Ela sh 100,000 kima cha juu kila siku km biashara itakuwa nzuri.
ALTENATIVE
A) Nunua boti 3 Used zenye kutumia Mashine za kisasa za kuvulia samaki hapo mwanza.
Kipande kwa siku ni zaid ya sh 100,000.
OR
B) Nunua hiace tatu Used kwa mtu kwa
sh 45,000,000 halafu utabakiwa na
sh 5,000,000.
Then katia zote Comprehensive insuarance utabakiwa na chenchi kidogo.
Project hii utapokea sh 150,000 kila siku.
KAZ KWAKO MKUU
Nyumba ni kitu kizur sana hasa apts,ila nataka nijipange kwanza maana pesa yangu bado ndogo ya kuwwkeza kweny ardhNjoo dom jenga vi apartments chumba 1na sebure na vyumba viwili na sebure kodi laki 2 hadi 3 hutojuta nyumba chache watu wengi
Ok,umeongea point mkuu ila mimi mpaka nimchukua huamuz wa kujitosa katka biashara tayar nmejistamn mwenyew na nmeamn nnaweza kuongoza biashara na watu nitakaowashirikisha najua baada ya mtaji biashara yataka nini ili kuifanya iendelee kukua na kuwa hai.uongoz wangu katka biashra yangu najiamn n mzur na nnawezaNimepitia Uzi huu mwanzo mwisho. Nipo kwenye ujasiriamali since my graduation in 2013 ninaweza nika recommend with my greatest experience all are here are just ideal and will remain Ideas. Any one can try but does not guarantee success. Kwa mawazo mengi yaliyoko hapa yanaeleza kuwa tatizo pekee linalokwamisha success ni mtaji na kwa kuwa unao no any problems litakukwamisha. Mtaji wako ni mkubwa sana na ni mdogo sana itategemea na wazo utakalochagua. But kumbuka biashara au miradi iliyofanikiwa imetegemea sana muongoza njia katika mafanikio hayo. Ndiyo maana wasitafu wengi au watu wanaopata mtaji kwa namna yeyote na wasiwe na uwezo wa kuongoza njia ya miradi yao huwa wanaishia kukwama.
All the best kwa kupata mtaji but mtaji pekee siyo kikwazo cha mafanikio.