Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Biashara yenye risk kubwa ndlo inakutoa vyema...itakulipa hata mara 5
Ni kweli kabisa biashara yenye risks ndio huwa na faida kubwa lakini pia ni pata potea.
So hizi mara nyingi zinawafaa watu wakongwe kwenye biashara.
Yaani watu ambao Wana biashara nyingi au wenye misingi imara ya pesa.
Haifai kufanya mtu anayeanza biashara halaf anaitegemea hyo biashara moja tu.
Yaani ikifa tu ndio Basi tena hana chake hata hela ya kula anakosa.
Yaani kwa mfano mtu amebahatisha kupata milioni 100 halaf yote akaenda kununua Basi la abiria.
Ina maana ikipata mzinga hata hela ya kuifufua hyo Basi Hana.
Inakuwa ndio mwisho wa biashara.
 
Kwa maana hiyo, kwa kipindi hiki kigumu ni biashara zinazotegemea mzunguko upi ndio zinaweza zikamtoa mtu kimasomaso?
Labda biashara za raw material Ku export, yaani makert is tabu, hata kama siyo Ku export Ila soko la biashara yako iwe viwanda kama raw material. But biashara kama za electronics, hardware, frem za biashara, real estimates hazifanyi vizuri. Nafkrii baada ya 2025 ataingia kiongozi wa sambli za mzee mwinyi, hapa pesa zitazagaa na ndiyo biashara hizo zitalipa
 
Kwa Uzi wako huu inaonekana wewe ni mgeni wa biashara

Simaanishi usiingie
Bali
Kuwa makini sana

Ushauri wangu
- Fanya biashara ambayo unauzoefu nayo kwa namna moja au nyingine
Lkn
Pia angalia biashara ambayo kwako wateja haitakuwa tabu kupata
- nashauri unavyoanisha biashara ANZA NA MTAJI WA 5M ili uweze test biashara yenyewe. Ni muhimu kujaribi na kujifunza ili ujue inakwendaje na kanuni zake
Kisha
Ukisha jiridhisha basi ongeza mtaji
Ila
Ikigoma na ukijaribu njia zote na ikagoma
Basi
Hamia
Biashara nyingine, ila komaa na ya kwanza mpaka ifanikiwe kwa mtaji wa 5M then expand


Kama
Ukipenda kuunganisha biashara yako iwe online
Basi
Karibu tufanya kazi nasi

Pitia Uzi huu una BUSINESS IDEAS ZAIDI YA 50 AMBAZO NI MAKINI SANA


+255-657-685-268
 
Kwa Uzi wako huu inaonekana wewe ni mgeni wa biashara

Simaanishi usiingie
Bali
Kuwa makini sana

Ushauri wangu
- Fanya biashara ambayo unauzoefu nayo kwa namna moja au nyingine
Lkn
Pia angalia biashara ambayo kwako wateja haitakuwa tabu kupata
- nashauri unavyoanisha biashara ANZA NA MTAJI WA 5M ili uweze test biashara yenyewe. Ni muhimu kujaribi na kujifunza ili ujue inakwendaje na kanuni zake
Kisha
Ukisha jiridhisha basi ongeza mtaji
Ila
Ikigoma na ukijaribu njia zote na ikagoma
Basi
Hamia
Biashara nyingine, ila komaa na ya kwanza mpaka ifanikiwe kwa mtaji wa 5M then expand


Kama
Ukipenda kuunganisha biashara yako iwe online
Basi
Karibu tufanya kazi nasi

Pitia Uzi huu una BUSINESS IDEAS ZAIDI YA 50 AMBAZO NI MAKINI SANA


+255-657-685-268



Wacha wee..fursa juu ya fursa..hamkosekanigi
 
Hii idea Ni nzuri sana na anunue eneo lenye property rights vibali vyote.

Na ashukuru hali ya sasa anaweza opoa eneo zuri balaa kwa bei ya kawaida...hata kama ni a bit expensive ye anunue tu hela itarudi na hatolala njaa (i kno what im saying)

Baadae anakuja kuwa center sna na unakuta business activity katika eneo lake zishachanganya.
 
kopesha kwa wajasiriamali wakulipe riba ,,,ila kuwa makini usije kuwa unagawa tu
Hapana mkuu cjawa na pesa ya kufanya hvyo,natakiwa nifanye kiti ambacho kitanipa ukuta mzuri,kias nkrud nyuma nakuwa na sehemu ya kukwamia na sio kurud nyuma mazima
 
Habar Mkaka
Kama ni mm ndio mwenye hiyo Capital
"50 million"
Napenda kukushaur ufanye hivii..

A) Tumia sh 30million
Hiyo ni pamoja na kununua Kiwanja(5,000,000) halafu ukajenga lodge ya vyumba 10 Self yenye thaman ya
sh 25Million.

B) Tumia sh 20milion
Nunua Toyota Hiace Used kwa Mtu ambayo ipo Order kwa sh 18,000 ila b4 hujanunua inabidi uende kuikagua ukiwa na fundi unayemuamin.
Hizo sh 2milion punguza kidogo kwa kulipia Comprehensive Insuarance hio hiace then per day unapata sh 50,000.

Aidha; Baada ya Lodge kukamilika utakuwa unapiga Ela sh 100,000 kima cha juu kila siku km biashara itakuwa nzuri.

ALTENATIVE
A) Nunua boti 3 Used zenye kutumia Mashine za kisasa za kuvulia samaki hapo mwanza.
Kipande kwa siku ni zaid ya sh 100,000.
OR
B) Nunua hiace tatu Used kwa mtu kwa
sh 45,000,000 halafu utabakiwa na
sh 5,000,000.
Then katia zote Comprehensive insuarance utabakiwa na chenchi kidogo.
Project hii utapokea sh 150,000 kila siku.

KAZ KWAKO MKUU
Wazo nzur la hiace ila saiv coaster ndo zipo bara bara sana,huo ushaur wako wa hiace umeniingia akili
 
Njoo dom jenga vi apartments chumba 1na sebure na vyumba viwili na sebure kodi laki 2 hadi 3 hutojuta nyumba chache watu wengi
Nyumba ni kitu kizur sana hasa apts,ila nataka nijipange kwanza maana pesa yangu bado ndogo ya kuwwkeza kweny ardh
 
Nimepitia Uzi huu mwanzo mwisho. Nipo kwenye ujasiriamali since my graduation in 2013 ninaweza nika recommend with my greatest experience all are here are just ideal and will remain Ideas. Any one can try but does not guarantee success. Kwa mawazo mengi yaliyoko hapa yanaeleza kuwa tatizo pekee linalokwamisha success ni mtaji na kwa kuwa unao no any problems litakukwamisha. Mtaji wako ni mkubwa sana na ni mdogo sana itategemea na wazo utakalochagua. But kumbuka biashara au miradi iliyofanikiwa imetegemea sana muongoza njia katika mafanikio hayo. Ndiyo maana wasitafu wengi au watu wanaopata mtaji kwa namna yeyote na wasiwe na uwezo wa kuongoza njia ya miradi yao huwa wanaishia kukwama.


All the best kwa kupata mtaji but mtaji pekee siyo kikwazo cha mafanikio.
Ok,umeongea point mkuu ila mimi mpaka nimchukua huamuz wa kujitosa katka biashara tayar nmejistamn mwenyew na nmeamn nnaweza kuongoza biashara na watu nitakaowashirikisha najua baada ya mtaji biashara yataka nini ili kuifanya iendelee kukua na kuwa hai.uongoz wangu katka biashra yangu najiamn n mzur na nnaweza
 
Nakushauri uwaombe rafiki zako wako wa karibu,
Mawazo si lazima itoke kwa mtu unaemfahamu tu,hata hapa unaweza kukusanya akili za watu tofaut mwisho wa siku ukawa unachunguza moja baada ya lingine, na ukapata kitu kikubwa
 
Back
Top Bottom