Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Habar Mkaka
Kama ni mm ndio mwenye hiyo Capital
"50 million"
Napenda kukushaur ufanye hivii..

A) Tumia sh 30million
Hiyo ni pamoja na kununua Kiwanja(5,000,000) halafu ukajenga lodge ya vyumba 10 Self yenye thaman ya
sh 25Million.

B) Tumia sh 20milion
Nunua Toyota Hiace Used kwa Mtu ambayo ipo Order kwa sh 18,000 ila b4 hujanunua inabidi uende kuikagua ukiwa na fundi unayemuamin.
Hizo sh 2milion punguza kidogo kwa kulipia Comprehensive Insuarance hio hiace then per day unapata sh 50,000.

Aidha; Baada ya Lodge kukamilika utakuwa unapiga Ela sh 100,000 kima cha juu kila siku km biashara itakuwa nzuri.

ALTENATIVE
A) Nunua boti 3 Used zenye kutumia Mashine za kisasa za kuvulia samaki hapo mwanza.
Kipande kwa siku ni zaid ya sh 100,000.
OR
B) Nunua hiace tatu Used kwa mtu kwa
sh 45,000,000 halafu utabakiwa na
sh 5,000,000.
Then katia zote Comprehensive insuarance utabakiwa na chenchi kidogo.
Project hii utapokea sh 150,000 kila siku.

KAZ KWAKO MKUU
Huyu dada yeye anaexperience na hizi biashara za lodge emu msikilize maana 😂😂😂 usidharau ushauri wa dada zetu bhna asa wanapokueleza bayana mambo haya 😅😅😅
 
Sikia Kijana hyo hela tafuta kiwanja next na barabara ya lami maeneo ya Goba....nunua...fungua car wash ya maana piga kimya.

Eneo lita appreciate, kodi hulipi na in the long run utajikuta una garage matata sana na hela yako isharudi long tym ago.

Na hilo eneo biashara yeyote utafanya hata kufyatua matofali.

Go buy an investment property i.e. Land kikubwa uwe na hela flani ya kufanya biz let say 20 - 25 Million. Hutojuta Joh Niamini.
Hii idea Ni nzuri sana na anunue eneo lenye property rights vibali vyote.
 
Njoo dom jenga vi apartments chumba 1na sebure na vyumba viwili na sebure kodi laki 2 hadi 3 hutojuta nyumba chache watu wengi
Iyo Ni kuweka ela chini aongeze kwa iyo amsini aje ilazo, meriwa, swaswa n.k
 
Tafuta wateja ufanye biashara ya EXPORT ya COFFEE ( ARABIKA ), COPPER ( CATHODER + ANODES ), VENEER + PLYWOOD, MANGANESE ORES, LEAD ORES, MBAO na MAGOGO ( TEAK, MKURUTI n.k ).
Hizo bidhaa anapata bure nn? Unaongea Manganese, copper kama unafikiri mtajiwake ni wakitoto.
 
Kila biashara inamitihani yake. Usifikiri hardware hawafirisiki mkuuu. Au usifikiri wote waiofanya biashara za kusafirisha maliasili walifilisika. Kila mmoja katika field yake na kwa bahati mbaya au nzuri kila aina ya biashara au shuguli inamatajiri wa kutupwa na pia inamasikini wa kutupwa.
Tazama kilimo, madini, wauza mandazi etc utangundua kuna matajiri na masikini
Kwel ndomana unatakiwa kuwa makin
 
Mtaji wa kuanzia waweza kuwa tsh ngapi? Na vifaa vya kutestia mitambo ni vipi? Mfano cement kiasi gani, nondo, na items nyingine?
Anaweza akaomba uwakala awe anauza twiga cements aende ofisini kwao atapewa uwakala au anunue kiwandani kwa mzigo wenye discounts auze jumla na rejareja. Aanze na cements alafu nondo na bati.
 
Ushauri wangu ni huu mkuu: Usimwamini mtu YOYOTE kwenye suala la fedha hata awe ndugu yako labda uwe una uhakika naye. Simamia kila kitu peke yako kama inawezekena. Usipofuata ushauri wangu nina uhakika utarudi hapa ukiwa umeshalizwa! Kila la kheri.
Ila watu wote hawako sawq mkuu
 
Sikia Kijana hyo hela tafuta kiwanja next na barabara ya lami maeneo ya Goba....nunua...fungua car wash ya maana piga kimya.

Eneo lita appreciate, kodi hulipi na in the long run utajikuta una garage matata sana na hela yako isharudi long tym ago.

Na hilo eneo biashara yeyote utafanya hata kufyatua matofali.

Go buy an investment property i.e. Land kikubwa uwe na hela flani ya kufanya biz let say 20 - 25 Million. Hutojuta Joh Niamini.
Ushauri mzuri asante
 
Mkuu ndio maana nikamwambia aende ofisini kwao wafanye negotions kwa mtaji atao propose aanze nao, wao kama kampuni watamshauri kama wao jinsi ya kuwa part of the company ilihali maslahi yapo.
Inahitajika kiasi gani mtaji ili uwe wakala wa TBL au TCC? TBL utahitaji big warehouse kwahiohio 50m
 
Akili za Kitoto hizi hiyo Lodge kwenye hicho kiwanja cha 5,000,000 itapata wateja kweli eti unajenga kwa 25million chini inakua ya Vumbi, Haipigwi Plasta ukutani wala Silling Board acha Gypsum....

Unajua bei ya Dirisha moja wewe? Au inakua ya Mapazia?

Milango?
Paving?
Fence tuu ya Guest dogo inakula zaidi ya 15M

Ondoeni utoto wenu hapa hicho ni kiasi kidogo sana kuwekeza kwenye Real estate akajichimbie hata kariakoo afanye biashara ya Electronics akimata 90m au 80m hivi ndo uumpe hizo idea zako?
Hata na mimi nishafanya kazi ya ujenz dada yuko sahii,shda nyumba unapoijnga usimamiz wako uko vpi,kwamaana nyumba unaweza juijenga kwa milion 10 ikawa imelngana na nyumba uliojenga kwa m5....ila kama wewe unaujuz na maswala ya ujenz unaelewa nini namaansha.halipokosea bajet yakujenga ni ndogo ukizngatia ujenz wa sasa

Ila hiace nimemuelewa mia mia,na hyo n moja ya ndoto yngu licha sio leo au kesho lakn naamni siku moja itatokea,hapo amenipa ushauri mzur na shauku ya kunifanya niendelee kufkiria hiace,ila saiv mwanza ni coaster
 
Hardware nakubali japo inabid ukae mwenyewe au wife. Vinginevyo mfanyakazi wako atakua anauza Mali zake bila wewe kujua
Kikubwa ni kuwa na iman na mtu unaempa kazi,,hata mke nae anaweza kukuzingua..
 
Mkuu ndio maana nikamwambia aende ofisini kwao wafanye negotions kwa mtaji atao propose aanze nao, wao kama kampuni watamshauri kama wao jinsi ya kuwa part of the company ilihali maslahi yapo.
TBL si chini ya 100m kuwa wakala, na warehouse ya kutosha.
 
Kwa hiyo pesa biashara ni nyingi sana mkuu. Labda tu ugumu wa biashara yoyote ni kuianza. Lakini ukishaingia unaiona kabisa utamu wa biashara. Uko mkoa gani nikuambie biashara itakayokulipa
Ni kwel kabsa
 
Kila biashara inamitihani yake. Usifikiri hardware hawafirisiki mkuuu. Au usifikiri wote waiofanya biashara za kusafirisha maliasili walifilisika. Kila mmoja katika field yake na kwa bahati mbaya au nzuri kila aina ya biashara au shuguli inamatajiri wa kutupwa na pia inamasikini wa kutupwa.
Tazama kilimo, madini, wauza mandazi etc utangundua kuna matajiri na masikini
Ulichoongea ni kweli kwamba kila biashara Ina risks zake,lkn risks zake zinatofautiana.
Lakini lazima utakubaliana na mm kwamba Kuna biashara risks zake ni kubwa kuliko nyingine.
Kwa mfano risks ya biashara ya kusafirisha nyanya ni kubwa kuliko biashara ya kuuza matofali.
Na biashara ya kuuza chakula Ina risks kubwa kuliko biashara ya kuuza mkaa.
Kwa hyo ni wajibu wake mfanyabiashara kuangalia ni biashara ipi ambayo Ina kiwango kidogo Cha risks.
Huwezi kufanya biashara ya kusafirisha ndizi kutoka morogoro na kupeleka Moshi eti tu kwa sababu kila biashara Ina risks.
Ni lazima utumie common sense ili kukwepa hasara isiyo ya lazima.
 
Wanajamii nimekuwa na wakati mgumu wa kuamua kufanya biashara gani itakayonifaa nitakapoamua kuacha kuangaika kwenye kazi za watu,

Nahisi pesa nilionayo($23,000=milioni 50 hivi za shilingi) inafaa kuwekeza ila nakuwa na wakati mgumu wa biashara hipi inafaa kulingana na pesa nilionayo au njia zipi nipitie ili niwe na mafanikio katika biashara yangu

Kwa mwenye kuwa na uelewa au uzoefu na maswala ya biashara na ushauri wa mambo haya anaweza kunishauri nipite njia zipi au nini nifanye kuwa bora katika biashara yangu ya aina yeyote ninayotaka kufanya

NINAWAKARIBISHA WAKUU.
Mkuu nikopeshe hiyo $3000 nakurudishia mwisho wa mwaka huu tafadhali
 
Ila watu wote hawako sawq mkuu
Ni kweli kabisa. Siyo kama kila mtu siyo mwaminifu. Ila mimi niseme kuwa fedha hubadilisha tabia za watu. Mtu anakuwa na kila aina ya uaminifu na unyenyekevu kabla hujampa fedha lakini once akizipata anakuwa mtu mwingine kabisa. Hili limenipata, tena mara mbili na nikikuambia hao jamaa walivyokuwa na dalili zote za uaminifu na unyenyekevu kabla yake utashangaa!
 
Kila biashara inamitihani yake. Usifikiri hardware hawafirisiki mkuuu. Au usifikiri wote waiofanya biashara za kusafirisha maliasili walifilisika. Kila mmoja katika field yake na kwa bahati mbaya au nzuri kila aina ya biashara au shuguli inamatajiri wa kutupwa na pia inamasikini wa kutupwa.
Tazama kilimo, madini, wauza mandazi etc utangundua kuna matajiri na masikini
Nmejipanga sana mkuu hasa katika biashra ninayotaka kufanya na teqm nitakayofanya nayo,,,nataka niiingie kwenye ulingo nimekamlka na zana za kutosha kuanzia mmi na team yngu iwe tayar kwa kusongesha gurudumu mbele
 
Back
Top Bottom