Nataka niende Zanzibar kuchukua Tv nasikia kule ni Bei Chee
Ushauri mzuri sanaOngeza hela ukachukue mpya mzee. Watu watakuuzia TV mbovu utakosa value for your hard earned money. Pia usipende kununua vitu used kwa watu utaishia jela
Unajuaje siyo mfanya biashara, au biashara ni mgahawa tu!nakushauri hiyo hela anzisha biashara ya mama lishe, huu sio msimu wa kununua TV, mambo ni mengi sana na hali ya uchumi mnayajua sana.
Nch 40 samsung Zanzbar lak 4 ina maana nch 32 iko 280-300 fanya mpango uagize kama una ndugu andaa na km 20 ya bandarini so 300 unapata kitu safi achana za mkononi--by the way ukiwa na shida na computer aina zote welcome 0714689280Nina 300,000 nataka TV Samsung inchi 32 nipo Pugu Dar
Nataka niende Zanzibar kuchukua Tv nasikia kule ni Bei Chee
Hamna hisense ya laki 3 hata hivyoNani anauza brand new Hisense smart TVs humu??
Wewe pia waweza shauri, mshauri hiyo Biashara nyingine.Unajuaje siyo mfanya biashara, au biashara ni mgahawatu!
Mmh acha hizo bana! Kwanini isiwepo?Hamna hisense ya laki 3 hata hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usije ukaitupa utaposhuka nayo tu maana vijana wa TRA watakufurahisha na jambo lao flani baada ya kushuka Azam Marine.
Ukifika bandarini ndo utaujua mzikiNataka niende Zanzibar kuchukua Tv nasikia kule ni Bei Chee
Nani anauza brand new Hisense smart TVunataka nch ngap
Nipo apa boss nakuchukulia gowdown kabisaa mpyaa smart tv nch 32 tsh 450 pia na tv za aina zingine pia na sabufa aina zote kwa bei ya godown hapa kariakoo...ila computer is my bussiness call 0714689280Nani anauza brand new Hisense smart TVs humu??
Nahitaji inch 49 smart TV, ni bei gani?nipo apa boss nakuchukulia gowdown kabisaa mpyaa smart tv nch 32 tsh 450 pia na tv za aina zingine pia na sabufa aina zote kwa bei ya godown apa kariakoo...ila computer is my bussness call 0714689280
Boss sisi tunao wa kukusUkifika bandarini ndo utaujua mziki
Kwa upande wa dsm za dukani hiyo unayoitaji toa laki 2 mf km ni lak 8 toa lak 2 inamaana lak 6 mana tv zinategemeana na kampuni lg/aborder sio sawa na mr uk kwa mfano mr uk nch 18 ni lak na 10 nch 24 lak na 60 sasa haiwezi kuwa sawa na lg/samsungNahitaji inch 49 smart TV, ni bei gani?
Kwa sababu haipo labda iwe usedMmh acha hizo bana! Kwanini isiwepo?
Sijaelewa vizuri mkuu! Nitoe laki 2 kutoka wapi?! Price yake inaendaje yani kwa Hisense smart TV inch 49 Dar! au yeyote anayejua guysboss sisi tunao wa kukus
kwa upande wa dsm za dukani iyo unayoitaji toa lak 2 mf km ni lak 8 toa lak 2 inamaana lak 6 mana tv zinategemeana na kampuni lg/aborder sio sawa na mr uk kwa mfano mr uk nch 18 ni lak na 10 nch 24 lak na 60 sasa aiwezi kua sawa na lg/samsung
Ok, ila hata hivyo naulizia mpya 49 inches? Hivi haunaga duka la TVs wewe?kwa sababu haipo labda iwe used