Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mi ni mpenzi wa gadgets beby! Mpya ni 1.2M for that sizeOk, ila hata hivo naulizia mpya 49 inches ? Hivi haunaga duka la TVs wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni mpenzi wa gadgets beby! Mpya ni 1.2M for that sizeOk, ila hata hivo naulizia mpya 49 inches ? Hivi haunaga duka la TVs wewe?
Yaan iko ivi mimi siuzi tv nauza pc/desktop ila najua hadi hivyo vitu vinakochukuliwa ukija Kariakoo madukani smart tv hisense mf ya nch 32 inauzwa lak 4 na 80 lakini godown inauzwa bei ya 400/390 mimi naweza kukuchukulia hapo ila wewe huwezi mana kuna vigezo vya kuuziwa bei hiyo, kwanza uwe na ofisi Kariakoo na uliyosalijiwa na unalipia mapato tra nk, nadhani umenisoma.Sijaelewa vizuri mkuu! Nitoe laki 2 kutoka wapi?!price yake inaendaje yani kwa Hisense smart TV inch 49 Dar! au yeyote anayejua guys
Ok nimekusoma mkuu! Thank you na je ziko vizuri tu?yan iko ivi mimi siuzi tv nauza pc/desktop ila najua hadi ivyo vitu vinakochukuliwa ukija kariakoo madukani smart tv hisense mf ya nch 32 inauzwa lak 4 na 80 lakini godown inauzwa bei ya 400/390 mimi naweza kukuchukulia apo ila wewe huwezi mana kuna vigezo vya kuuziwa bei iyo kwanza uwe na ofc kariakoo na uiliyosalijiwa na unalipia mapato tra nk nadhani umenisoma
Yah si zinakua mpya na ziko kwenye box zake na unapewa warranty yake ya kampuniOk nimekusoma mkuu! Thank you na je ziko vizuri tu?
Nataka niende Zanzibar kuchukua Tv nasikia kule ni Bei Chee
Kule hakuna new brand, wanauza zimezopigwa spana balaa tena wao wenyewe me nilikuwepo mwezi 12 huko hakuna jipya labda Kama ni used.
Kama unataka mpya nunua hapa bongo new brand
Wabongo wengi waoga kwenye no test ila ukinunua tano unakuta moja mbovu lkn bado kuna vifaa vizima kwa kifupi hupati hasara ila kama unanunua moja ni tatizo230,000/= used ya dukani tra 30,000/= jumla 260,000/= Samsung LG hisense Panasonic TVC na nyenginezo ( used ya dukani) ukipata pale kontena linashusha no test ni 150,000/= bei
Kabla ya haya mambo ya smart hayajaenea Bongo, niliwahi kununua Sony WEGA original! Niliitumia zaidi ya miaka 10 hadi ikaniboa nikaanza kuifungua fungua ili mradi tu limeshanichosha! Nilipoona litivii lenyewe halitishiki hata kwa bisi bisi ambazo sio za fundi, nikaamua kuligawa!Ila sema hatuwezi kufanana kiuchumi, ila vitu original vinakaa sana na una vifurahia mno..natumia LG sio smart ila resolution ni nzuri sana karibu mwaka wa tano now, ht simu sipendi sana za mkononi ila ikibd unachukua isogeze muda mbele.
Unauza pc za aina gani mkuu na bei zake angakau tujichange ungetuambia, the way unavyoandika unaonekana mtu mwaminifu.yan iko ivi mimi siuzi tv nauza pc/desktop ila najua hadi ivyo vitu vinakochukuliwa ukija kariakoo madukani smart tv hisense mf ya nch 32 inauzwa lak 4 na 80 lakini godown inauzwa bei ya 400/390 mimi naweza kukuchukulia apo ila wewe huwezi mana kuna vigezo vya kuuziwa bei iyo kwanza uwe na ofc kariakoo na uiliyosalijiwa na unalipia mapato tra nk nadhani umenisoma
AINA ZOTE BOSS KUANZIA LAK 2 BOSS YAN UNAVYOTAKA WEWE PC ZA MTUMBA ZOTE MIMI NAWEZA KUKUPATIA UNAYOHITAJI NA PIA www.sangakariakoo.com IS MY SIMPLE WEBSITE KWA BIDHAAUnauza pc za aina gani mkuu na bei zake angakau tujichange ungetuambia, the way unavyoandika unaonekana mtu mwaminifu.
Vipi mkuu umeshapata au bado?Nina 300,000 nataka TV Samsung inchi 32 nipo Pugu Dar