Bwana Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 4,401
- 9,555
Watu watakimbia na fedha zako, kuna dalili ya dhoruba kali jaribu kutulia kwanza
Faida inategemea na kiasi ulichowekezaUsinunue hisa crdb, nmb au popote pale. Nin ndg yang aliwekea mamilion lakn mwisho wa mwaka faida haikuzidi laki mbil. Sasa kwaiy fedha yako sikushauri
1. Chukua milioni 15 nunua hisa CRDBHabar wakuu nimekuja kwenu Nina akiba hapa ya 40m,nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoeufu wa uwekezaji mpo,nishaurini kati ya kununua hisa CRDB,NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo,
Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
ndugu, upo uwekezaji zaidi huo ulioutaja. upo ununzi wa HATIFUNGANI ZA SERIKALI, zipo Money Market Fund mbalimbali, uwekezaji kwenye REAL ESTATE.Habar wakuu nimekuja kwenu Nina akiba hapa ya 40m,nimekuja kwenu kama wataalamu wa uwekezaji au wazoeufu wa uwekezaji mpo,nishaurini kati ya kununua hisa CRDB,NMB na kuwekeza UTT, niwekeze sehemu ipi kati ya hizo,
Maana nafanya shughuli zangu zingine zabiashara kama kawaida ila Nina hiyo akiba
Kama ni mzee wa miaka 55 kwenda mbele aweke hati fungani.ndugu, upo uwekezaji zaidi huo ulioutaja. upo ununzi wa HATIFUNGANI ZA SERIKALI, zipo Money Market Fund mbalimbali, uwekezaji kwenye REAL ESTATE.
ushauri wangu: PELEKA AKIBA HIYO kwenye HATI FUNGANI KWA USALAMA WA FEDHA ZAKO.
Endapo utafanikiwa kupata hatifungani ya miaka 25 na coupon ya asilimia 15, unao uhakika wa kuvuna Tshs MILIONI SITA KILA MWAKA. Mwishoni mwa mwaka wa kwanza fedha zako zitaongezeka na kufikia 46,000,000.
endapo fedha hizi utazipeleka kwenye HISA, itategemea na performance ya kampuni ulikowekeza. kwa mfano Hisa zikishuka na thamani ya fedha zako inashuka. Hisa za NMB kwa leo ni Tshs 8330 na CRDB 1340. Kwa 40M utapata hisa 4,801 NMB na hisa 29,850. Endapo hisa hizo zitashuka hata kwa 1% tayari 40M imepungua hivyo biashara ya hisa inazo hatari nyingi zaidi kuliko HATIFUNGANI (Tresury Bonds). Aidha, endapo bei ya hisa sokoni itapanda, utaongeza fedha zako pia.
Chaguo ni lako.
Usinunue hisa crdb, nmb au popote pale. Nin ndg yang aliwekea mamilion lakn mwisho wa mwaka faida haikuzidi laki mbil. Sasa kwaiy fedha yako sikushauri
1. Kwanini kulikuwa /kuna limit ya muda wa kujisajiri wakati watu wanafanya uwekezaji/biashara kila siku?ETF ni nini?
ETF (Exchange Traded Fund) ni mfuko wa uwekezaji unaokusanya kampuni nyingi ndani ya bidhaa moja, na unauzwa kwenye soko la hisa kama hisa ya kawaida.
Ukinunua “unit” moja, unamiliki sehemu ya kampuni zote zilizo ndani ya huo mfuko.
iTrust EAC Large Cap ETF – IPO
Mamlaka ya Masoko ya Mitaji (CMSA) imeidhinisha iTrust EAC Large Cap ETF,
ETF ya kwanza ya kikanda Afrika Mashariki.
Mambo ya Muhimu:
1. Kiasi cha Mauzo: TZS Bilioni 10
2. Bei kwa Kila Uniti: TZS 1,000
3. Uwekezaji wa Chini: Uniti 100 (TZS 100,000)
4. Inawekeza Kwenye Nini: Makampuni makubwa (large-cap) ya Afrika Mashariki.
5. Itauzwa Wapi: DSE – unaweza kununua na kuuza wakati wowote
6. Muda wa Kujisajili: 17 Nov – 12 Des 2025
Makampuni Yaliyopo Ndani ya ETF (Bila Uzito/Weight)
Kenya
1. Safaricom
2. KCB Bank
3. Jubilee Holdings
4. Equity Bank
5. BAT Kenya
Tanzania
1. NMB Bank
2. TCC (Tobacco)
3. Vodacom Tanzania
4. TPCC (Twiga Cement)
5. Tanga Cement
6. CRDB Bank
Uganda
1. MTN Uganda
2. Stanbic Bank Uganda
Rwanda
1. Bank of Kigali
Kwa Nini Hii ETF ni Muhimu?
Lengo ni kukupa njia rahisi, salama, na yenye utawanyiko mpana (diversification) ya kuwekeza kwenye makampuni makubwa ya Afrika Mashariki kupitia bidhaa moja tu (ETF).
Hapa sijaelewa, yaani kuna uwezakano wa "kuomba asilimia fulani ya faida kwenye mabenki" na wakakubali? Mnakaa mnajadiliana kwamba naweka hela yangu fixed deposit lakini "nataka" mnipe asilimia fulani kwa mwezi/mwaka?Nenda NBC bank ufungue Fixed Deposit Account uombe wakupe faida ya asilimia 10 kwa mwaka ambayo itakuwa ni milioni 4 toa asilimia 10 kodi ya serikali unabaki na shilingi 3,600,000 kwa mwaka.
Hivyo ina maana kila mwezi benki ya NBC itakuwa inakuwekea kwenye akauti yako shilingi 300,0000 ambayo kama unaona haikutoshi basi tafuta biashara nyingine japo itakuwa na risk kubwa zaidi.
Endapo utaiweka benki kwa zaidi ya mwaka moja labda miaka miwili basi uombe faida ya asilimia 15.
NakujaIkifika 50m njoo tuzungumze kikubwa
2025 still watu wanaweka pesa fixed deposits??Nenda NBC bank ufungue Fixed Deposit Account uombe wakupe faida ya asilimia 10 kwa mwaka ambayo itakuwa ni milioni 4 toa asilimia 10 kodi ya serikali unabaki na shilingi 3,600,000 kwa mwaka.
Hivyo ina maana kila mwezi benki ya NBC itakuwa inakuwekea kwenye akauti yako shilingi 300,0000 ambayo kama unaona haikutoshi basi tafuta biashara nyingine japo itakuwa na risk kubwa zaidi.
Endapo utaiweka benki kwa zaidi ya mwaka moja labda miaka miwili basi uombe faida ya asilimia 15.
KaribuNakuja
Ni ya uhakika zaidi labda kuliko njia zingine hizo, ukisoma andiko langu hapo juu ndio utaelewa vizuri zaidi.2025 still watu wanaweka pesa fixed deposits??
Ukisema nataka ni kama una amurisha, kinachofanyika ni majadiliano kisha mnafikia muafaka. Ninazungumzia benki ya NBC kwani ndio nina uzoefu nayo.Hapa sijaelewa, yaani kuna uwezakano wa "kuomba asilimia fulani ya faida kwenye mabenki" na wakakubali? Mnakaa mnajadiliana kwamba naweka hela yangu fixed deposit lakini "nataka" mnipe asilimia fulani kwa mwezi/mwaka?
Ni ya uhakika zaidi labda kuliko njia zingine hizo, ukisoma andiko langu hapo juu ndio utaelewa vizuri zaidi.