Sijajua procedure ya hiyo mifuko lakini sidhani kama hawatozwi kodi.UTT wanatoa 12% on average. M-Wekeza 13%, na mifuko ya uwekezaji wa pamoja mingine inatoa around humo humo tena bila withholding tax. Hiyo fixed deposits ina faida gani zaidi kuliko hizi mifuko?