Nina 40M ninunue hisa CRDB, NMB au niwekeze UTT?

UTT wanatoa 12% on average. M-Wekeza 13%, na mifuko ya uwekezaji wa pamoja mingine inatoa around humo humo tena bila withholding tax. Hiyo fixed deposits ina faida gani zaidi kuliko hizi mifuko?
Sijajua procedure ya hiyo mifuko lakini sidhani kama hawatozwi kodi.
 
UTT hawatozi kodi. Natumia Liquid Fund.

Mkuu, kwa mtu anayeanza, mfano kwa Tsh 20 M, ni mfuko upi unafaa huko UTT Amis? nasikia kuna Liquid, bond, n.k

Na nini maana ya ''compound interest" huko UTT?

Je, ipi bora zaidi kati ya UTT na M-Wekeza?
 
Imagine tangu upost hii ungenunua hisa za crdb tayari ungekuwa ushapata return ya not less than 40%. Uoga ni mbaya sana
 
Imagine tangu upost hii ungenunua hisa za crdb tayari ungekuwa ushapata return ya not less than 40%. Uoga ni mbaya sana
Daa mkuu kweli uoga wangu ndo umaskini wangu,saa nkikumbuka nyuzi Yako ya hisa nasema Bora ningejilipua na mim
 
Usinunue hisa crdb, nmb au popote pale. Nin ndg yang aliwekea mamilion lakn mwisho wa mwaka faida haikuzidi laki mbil. Sasa kwaiy fedha yako sikushauri
Aliweka mamilioni mangapi , wakati ili mwaka uliopita upate laki mbili ilibidi kwa mwaka jana CRDB ilibidi uwe na hisa 3100 approximate , na kwa bei ya hisa moja wakati huo ilikuwa 850 basi alihitaji kuweka 2.7M ili kupata laki mbili
 
Mkuu ulifuata huu ushauri au ulitemana nao?
 
DOGO HUNA HELA ACHA KUSUMBUA WATU. UMENISIKIA WAKATI NAONGEA NA DADA YAKO NDO UNAKUJA ANZISHA UZI HUKU. UONDOKE HAPA HOME MI NLIMWOA DADA YAKO SIKUOA NINYI NYOTE
 
Oyaa mhandisi unaonaje mwenendo wa CRDB sahvi tujilipue?
Mkuu nunua kwa wingi kama mpunga upo. Bado bei inaendelea kupanda imefanya resistance kwa wiki 2 ila itakuja kufumuka tu.

Now tukiwa tunaelekea gawio usiwe na wasi wewe nunua.... isipokulipa mpaka mwezi wa 5 itakulipa kuanzia mwezi wa 8....
 
Asante mtaalam acha tuzinunue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…