Ajira Tanzania
Member
- Feb 8, 2017
- 79
- 27
sawa mkuuuUza karanga na kashata
usicheke mkuu...maisha magumuHahahahahahahahahhhahahhhahahahahahhaah.
bado mkuuu...nipe mawazo yakoKwani biashara ya vocha umeshajaribu mkuu..?
Vocha feki..bado mkuuu...nipe mawazo yako
Asante mkuuPesa inatosha hiyo!
Nenda vijijin tafuta mayai ya kienyeji uje uuze mjini
Au kanunue kuku hata watano utawauza jijin kwenye hotel na wauza chips
Kama unaweza njoo nikupe shule ya marketing uelewa wako product unachukua bure unarudisha demarch jioni watu wanapiga hela hadi 20000 kwa siku nyumba getho langu utakaa bure ila inabidi uwe mvumilivu uyakacho takiwa kuaanda ni barua ya Mtendaji na hela ya kujazia fomu 15000 na wadhamini watatu na Namba zao za Simu KARIBU sio lazima ni ushauri tuwakuu haber zenu.
apa nilipo nina sh. 50,000 sasa nataka kuzalisha nipate pesa ya kuishi ...naombeni wazo la biashara..nifanye biashara gani ili niwezi kufanikiwa? kwa sasa nina ishi mbeya naombeni msaada wakuu
MakambakoKama unaweza njoo nikupe shule ya marketing uelewa wako product unachukua bure unarudisha demarch jioni watu wanapiga hela hadi 20000 kwa siku nyumba getho langu utakaa bure ila inabidi uwe mvumilivu uyakacho takiwa kuaanda ni barua ya Mtendaji na hela ya kujazia fomu 15000 na wadhamini watatu na Namba zao za Simu KARIBU sio lazima ni ushauri tu