Nina amani kuwa uchawi upo; je, na uganga wa kweli bado upo?

Nina amani kuwa uchawi upo; je, na uganga wa kweli bado upo?

RWANTANG

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2021
Posts
1,143
Reaction score
1,425
Habari za usiku huu wana jamvi. Kama bandiko linavyojieleza, Uchawi upo na matukio ya kichawi baadhi yetu tumekuwa tukiyashuhudia.

Swali langi je, kuna uganga wa kweli katika kutibu uchawi?

Au kumnyoosha anae kutendea visivyo?
 
DINI YA HAKI INAZUNGUMZIAJE KUHUSU UCHAWI NA ULOZI PLUS USHIRIKINA?
 
Kuna visomo ndugu, waliokutendea wataisoma namba.
 
Back
Top Bottom