Nina bahati mbaya na wanawake wa JF

Mimi sio mkazi wa Kitongoji cha Chit-chat!

Sometimes nikipotelea huku nikawa nadhani wakazi wenyewe wa hiki kitongoji huwa mnamwelewa huyu jamaa... nikawa nadhani ndo flavor zenyewe za Chit-chat!!

Kumbe inaelekea hata wakazi wenyewe wa hiki kitongoji hawakuelewi mtoa mada!
 
Kwani tupo kuelewana hapa mkuu hivi utamuelewa nani kila kitu fekero!
 
DJ Sepetu unazingua..haya mazoez yana jenga mkuu.
Utakuja vaa dela mtaani wewe. Yani kama ww kweli ni ME kemea hiyo tabia. [emoji35]
 
DJ Sepetu unazingua..haya mazoez yana jenga mkuu.
Utakuja vaa dela mtaani wewe. Yani kama ww kweli ni ME kemea hiyo tabia. [emoji35]
Hivi avatar ndo mazoea yepi! Tuwe waelewa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…