Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peace bro,Umefika huko!
Kuna mtu anataka kunioa?Nahuja eti we ke ila avatar ni me!
hayaNdo useme watu wakuweke ndani
Kwani tupo kuelewana hapa mkuu hivi utamuelewa nani kila kitu fekero!Mimi sio mkazi wa Kitongoji cha Chit-chat!
Sometimes nikipotelea huku nikawa nadhani wakazi wenyewe wa hiki kitongoji huwa mnamwelewa huyu jamaa... nikawa nadhani ndo flavor zenyewe za Chit-chat!!
Kumbe inaelekea hata wakazi wenyewe wa hiki kitongoji hawakuelewi mtoa mada!
Wewe ndye dada angu ndyo maana nakuulizaUshamuuliza dadako hilo swali!